TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

Asipofungiwa maisha watakuwa wamemuonea sana. Ameitafuta life ban kwa udi na uvumba.
GSM niliwashauri huyu ni chizi apelekwe Milembe badala ya kutembea naye kama madogoli.
haufahamu kilichotokea ndo maana unaongea hivyo
Sivutiwi sana na manara
ila kwa kilichotokea JANA hata ungekuwa wewe usingeweza kumvumilia KARIA kisa tu rais wa TFF ni KIONGOZI wa HOVYO
 
kwa hiyo kwako wewe manara akiwa simba mamho mengi aliyokuwa akiiongelea yanga wewe ulikuwa unachukulia ni utani wa jadi . manara aliwahi sema ukiwatoa Baba yake na Mzee Kikwete mashabiki wote wa Yanga hawana akili . kwako wewe na huo nao ulikuwa utani ? Kama ni utani kwanini amtoe baba yake na mzee JK?
Hapana sijawahi kubaliana na dhihaka, hiyo ni dhihaka ambayo nasmini ukiitoa kuelezea namna alivyo anaweza kukufungulia kesi ya kumdhalilisha kutokana na albinism yake.
 
Japo kua Karia nae hua sio mstarabu ana hulka ya ubabe na dharau ila Haji ana Ego na uswahili mwingi binafsi naona atulizwe pembeni
 
Kwa kila story ina two sides, Mr.Manara hakukurupuka tu ,na hatujui Mr.Kiria alimwambia nini Mr.Manara, Ile mentality tuliyokua nayo kuwa viongozi hawakosei ndio inatuweka hapa tulipo, hivi kuna leader yeyote kwenye historia ya nchi yetu ambaye alishawahi to apologize ?,nikipewa hata mfano mmoja hapa,nita withdraw na to apologize kwa comment yangu hii.
Hata kama kiongozi kakosea huwez simama hivyo na kushout shout kwa kurusha mikono hvyo,

Mtu mwenye mamlaka muogope sana ukijifanya kidume lazima upotezwe
 
Mbona mnaleta habari za upande mmoja? Karia hajamtuka Manara na Yanga?
 
haufahamu kilichotokea ndo maana unaongea hivyo
Sivutiwi sana na manara
ila kwa kilichotokea JANA hata ungekuwa wewe usingeweza kumvumilia KARIA kisa tu rais wa TFF ni KIONGOZI wa HOVYO
Tufahamishe basi kilichotokea maana ni kweli haiwezi kuwa manara alikurupuka tu lazima kuwe kuna namna

Lakini pia kumbuka walikuwa watu wengi ambao unaweza kufikiria katika hicho ambacho Karia alikitoa kiliweza kuwaumiza na hao wengine, lakini kwanini hao hawajahusika kutoa lugha chafu?

Na ndio maana TFF imetoa barua ya wito kwa ajili ya kusikiliza maelezo ya oande zote mbili, TFF haijasema manara kwa alichokifanya jana basi ameadhibiwa asifanye hiki na hiki kwa hiyo bado naona manara anayo nafasi kama kweli alikuwa na haki
 
Mbona mnaleta habari za upande mmoja? Karia hajamtuka Manara na Yanga?
Mi nadhani karia naye angekuwa kamtukana, basi manara asingekanusha kwenye article yake na kujisifu kuwa ana heshimiana na karia na hawezi kutoa lugha za matusi kwa wakubwa.
 
TFF imemlea sana Manara. ni mtu hatari asie na akili na anatumia mdomo wake kwa vyovyote vile kupata mlo. ikumbukwe aliichafua sana sura ya mpira wa tanzania alipopost Simba inatumia madawa na hujuma kwa timu za wageni. majhuzi kasema sajili zetu kuna watu wanaleta mchezaji dola laki moja arobaini ya kwao ambayo tafsiri yake kuna rushwa kubwa sana kwenye mpira wa Tanzania. Hata kama madai hayo yana ukweli lakini sio kwa njia ya kuchafua nchi nzima. TFF imuondoe kabisa Manara kwenye mira wa Tanzania ni sawa na kufuga Mbwa aje akuume msikitini.

Mkuu suala la ushirikina mbona liko wazi.

Nalo bado mnamlaumu Haji?!
 
Huyu Takadini anajiona yeye yuko juu sana kisa u zeru zeru wake, utadhan dunia nzima papai ni yeye tyuuh, msieeeeew anaboa mnoo.
Apewe adhabu inayostahili na kosa lake, apate funzo.

Aliposema kwamba Pale Yanga ukimtoa baba yake na kikwete kwamba wanaobaki wote hawana akili, aisee pale alitukana sana!!!

Kwahiyo na Mzee Philipo Mpango (mwana Yanga) nae hana akili??
 
Namkumbusha tu Manara, Mwakalebela alikula mvua bila hata kosa kamili. Boniphace Wambura hana tena hamu na mpira yaani hana hamu tena. Malinzi, Kaburu, na wengine mention them. hawataki hata sikia mpira wa miguu. Cheza na Karia wewe.
 
Aliposema kwamba Pale Yanga ukimtoa baba yake na kikwete kwamba wanaobaki wote hawana akili, aisee pale alitukana sana!!!

Kwahiyo na Mzee Philipo Mpango (mwana Yanga) nae hana akili??
Ina maana hata mhe. Waziri wa fedha na mipango nae akili hana.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama kiongozi kakosea huwez simama hivyo na kushout shout kwa kurusha mikono hvyo,

Mtu mwenye mamlaka muogope sana ukijifanya kidume lazima upotezwe
Ndyo maana nchi haiendelei kwakua hamtak kukosolewa

Viongoz wengi n usles to kisa unacheo ndo
Unataka utumie kila mtu vibaya

Yani hata mtu adhalilike mbele ya familia
Kisa cheo chakoo mkafie mbele huko
 
Ndyo maana nchi haiendelei kwakua hamtak kukosolewa

Viongoz wengi n usles to kisa unacheo ndo
Unataka utumie kila mtu vibaya

Yani hata mtu adhalilike mbele ya familia
Kisa cheo chakoo mkafie mbele huko
Haya sasa ban la daima milele linamkuta mwenzio hvyo
 
Back
Top Bottom