monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nikiona mwanayanga anatetea upumbavu wa Manara ambao kimsingi anao kabla hajachukuliwa na Simba huwa nashangaa sana tena sana.umebaki Yanga na akili zako. Tunaweza kuleta ushabiki lakini kwenye mambo ya msingi tuwe serious kama hivi
tumia akili bro. huko kwenu ndio huwa mnakosoa hivyo. Achana na kiongozi hata office mate tu huwezi kumkosoa hivyo. hivyo hukosoana wavuta bange. Kwa mantiki yako Samia akikosea Mwigulu amrishie mikono hivyo? Ficha upumbavu wakoNdyo maana nchi haiendelei kwakua hamtak kukosolewa
Viongoz wengi n usles to kisa unacheo ndo
Unataka utumie kila mtu vibaya
Yani hata mtu adhalilike mbele ya familia
Kisa cheo chakoo mkafie mbele huko
Tanzania 🇹🇿 bado haijawa police stateHata kama kiongozi kakosea huwez simama hivyo na kushout shout kwa kurusha mikono hvyo,
Mtu mwenye mamlaka muogope sana ukijifanya kidume lazima upotezwe
Anajuwa sana mlongo..!! Mlongo nawe sema neno moja kwa aliyemfunga anayejuaMlongo toa neno kuhusu Sope, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah ! Kwahiyo bila Manara makombe hamna?Tatizo makombe yaendelee
mjinga sana yule jamaaHahaha ila manara ni mnafiki aisee yani kwa ile makala aliyoiandika leo akimlalamikia jemedari ujue mi nilianza kuingia kingi kumuamini kuwa anasingiziwa?
Kwanza nilisita kuamini ile clip iliyodaiwa kuwa haji kamtolea matusi ya nguoni Karia kwasababu hayo matusi kwenye hiyo clip hayasikiki.
Manara kwenye article yake ameonesha kukereka sana na jemedari kiasi ambacho hadi uongozi wa Yanga umemshauri apeleke hili jambo kwenye ngazi za sheria.
Lakini nilivyoona hiyo statement ya TFF hapo ndio nineanza kuamini kuwa hata ile video iliyodaiwa kuwa manara anamtukana karia ni ya kweli.
Sasa ni muda wa wana Yanga kuonesha mapenzi kwa msemaji wao kwa kumsimamia kwenye hii kesi ashinde ili aendelee kuwapa makombe
Kwa hii point yako Nakuunga mkono kwa [emoji817]Kwani hizo timu zenu ni lini wametowa pesa za usajiri mpaka useme mnapigwa? Yanga imetowa pesa ya club kumsajili Mayele? Au Simba imetowa Pesa ya club kumsajili Chama? Mnapigwa wapi sasa?
Sureboy ni mzee yule,mwambie sasa hivi aache bange kama ataachaHuwa nikiona mwanayanga anatetea upumbavu wa Manara ambao kimsingi anao kabla hajachukuliwa na Simba huwa nashangaa sana tena sana.
Ni sawa na ninavyowashangaa watu wa Yanga wanaomshabikia Morrison.
Kuna kitu watu hawajui, umri wa Manara na umri wa Morrison huwezi kuwabadilisha tabia zao ni kitu hakuwezekani kwa umri wao unaachana nao tu for good.
Kuna rika kama la Nkane, sure boy na Fei toto bado hawajakuwa chronic kwenye tabia mbovu ndio vijana unaweza kuwarudisha kwenye mstari ukiona wanapotea, tena siku hizi club kubwa zinakuwa na wataalam wa saikolojia kabisa.
Mkuu hii hata sisi Yanga inatuhusu . Aliwahi kutuita hamnazo.kwahiyo tukikubali kwamba Manara Yuko sahihi basi tukubali kwamba alipotuita ni hamnazo vilevile alikuwa sahihi.Kombe la Simba msimu huu ni Manara kufungiwa.
Kuna msemo unasema aliko Manara ndiko makombe yanakokwenda..!! Jaribu tu kutathminiDah ! Kwahiyo bila Manara makombe hamna?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kutupiga fix, Manara ameleta hamasa gani Yanga? Miaka minne bila kombe uliona Yanga hamasa imekufa?
Yeye ni pesa za GSM ndio zimemfanya kula matapishi yake, hata swala la haya mataji wana Yanga kwa kauli moja tunakubaliana ni pesa za GSM ndio zimeleta faraha jangwani na si vinginevyo.
Hizi kama ni za ndani basi ni ndani kwako siyo ndani ya Yanga wala GSM.
Hadi Mwigulu nchemba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliposema kwamba Pale Yanga ukimtoa baba yake na kikwete kwamba wanaobaki wote hawana akili, aisee pale alitukana sana!!!
Kwahiyo na Mzee Philipo Mpango (mwana Yanga) nae hana akili??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noumaaaaaaaaah.Anajuwa sana mlongo..!! Mlongo nawe sema neno moja kwa aliyemfunga anayejua