TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

umebaki Yanga na akili zako. Tunaweza kuleta ushabiki lakini kwenye mambo ya msingi tuwe serious kama hivi
Huwa nikiona mwanayanga anatetea upumbavu wa Manara ambao kimsingi anao kabla hajachukuliwa na Simba huwa nashangaa sana tena sana.

Ni sawa na ninavyowashangaa watu wa Yanga wanaomshabikia Morrison.

Kuna kitu watu hawajui, umri wa Manara na umri wa Morrison huwezi kuwabadilisha tabia zao ni kitu hakuwezekani kwa umri wao unaachana nao tu for good.

Kuna rika kama la Nkane, sure boy na Fei toto bado hawajakuwa chronic kwenye tabia mbovu ndio vijana unaweza kuwarudisha kwenye mstari ukiona wanapotea, tena siku hizi club kubwa zinakuwa na wataalam wa saikolojia kabisa.
 
Ndyo maana nchi haiendelei kwakua hamtak kukosolewa

Viongoz wengi n usles to kisa unacheo ndo
Unataka utumie kila mtu vibaya

Yani hata mtu adhalilike mbele ya familia
Kisa cheo chakoo mkafie mbele huko
tumia akili bro. huko kwenu ndio huwa mnakosoa hivyo. Achana na kiongozi hata office mate tu huwezi kumkosoa hivyo. hivyo hukosoana wavuta bange. Kwa mantiki yako Samia akikosea Mwigulu amrishie mikono hivyo? Ficha upumbavu wako
 
Hata kama kiongozi kakosea huwez simama hivyo na kushout shout kwa kurusha mikono hvyo,

Mtu mwenye mamlaka muogope sana ukijifanya kidume lazima upotezwe
Tanzania 🇹🇿 bado haijawa police state
 
Tukubali tu kwamba ile timu kwa sasa ni dampo la vichaa. Mnaopitapita kwenye hiyo mitaa jangwani hasa nyakati za mwandamo wa mwezi jiandaeni kupopolewa mawe na hao vichaa wawili Manara +morisoni . Tabia za vichaa mnazijua vizuri mno. Mi nimewapa tahadhari msijesema sikuwapa tahadhari.
 
Tukumbuke karia ni raisi wa mpira Tanzania hajji asipofungiwa maisha mniite mbwa nipo pale
 
mjinga sana yule jamaa
 
Hivi weeken hii mahakama inafanya kazi?
 
Kwani hizo timu zenu ni lini wametowa pesa za usajiri mpaka useme mnapigwa? Yanga imetowa pesa ya club kumsajili Mayele? Au Simba imetowa Pesa ya club kumsajili Chama? Mnapigwa wapi sasa?
Kwa hii point yako Nakuunga mkono kwa [emoji817]
 
Manara amewahi kuwatukana yanga wote hawana akili isipokuwa JK na baba yake tu.
Kazoea kula nyama za watu hawezi kuacha.
 
Sureboy ni mzee yule,mwambie sasa hivi aache bange kama ataacha

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kombe la Simba msimu huu ni Manara kufungiwa.
Mkuu hii hata sisi Yanga inatuhusu . Aliwahi kutuita hamnazo.kwahiyo tukikubali kwamba Manara Yuko sahihi basi tukubali kwamba alipotuita ni hamnazo vilevile alikuwa sahihi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliposema kwamba Pale Yanga ukimtoa baba yake na kikwete kwamba wanaobaki wote hawana akili, aisee pale alitukana sana!!!

Kwahiyo na Mzee Philipo Mpango (mwana Yanga) nae hana akili??
Hadi Mwigulu nchemba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…