Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Kuna kutukana zaidi ya alikokufanya JPM kwa kumwambia kolo PM kuwa atawachapa mashangazi zake wa huko Nachi..!?Aliposema kwamba Pale Yanga ukimtoa baba yake na kikwete kwamba wanaobaki wote hawana akili, aisee pale alitukana sana!!!
Kwahiyo na Mzee Philipo Mpango (mwana Yanga) nae hana akili??
FAHAMU WAPI KUTOA NINI. Wewe kama mama yako malaya unatoka barabarani kusema mama yako malaya??? Think twice and reason.
Cool MzeeMpumbavu wa kwamza Mama'ko kenge wahed.
Kwa kila story ina two sides, Mr.Manara hakukurupuka tu ,na hatujui Mr.Kiria alimwambia nini Mr.Manara, Ile mentality tuliyokua nayo kuwa viongozi hawakosei ndio inatuweka hapa tulipo, hivi kuna leader yeyote kwenye historia ya nchi yetu ambaye alishawahi to apologize ?,nikipewa hata mfano mmoja hapa,nita withdraw na to apologize kwa comment yangu hii.
Manara Ni kirusi katika mpiraSekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili.
Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallece Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup Jijini Arusha, jambo ambalo linaonekana ni kinyume na maadili ya mpira wa miguu Nchini.
Hadi Mwigulu nchemba, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana uwanjani kuna mtu ni mdogo tu kiumri alikuwa kakaa benchi la ufundi na begi lakeTufahamishe basi kilichotokea maana ni kweli haiwezi kuwa manara alikurupuka tu lazima kuwe kuna namna
Lakini pia kumbuka walikuwa watu wengi ambao unaweza kufikiria katika hicho ambacho Karia alikitoa kiliweza kuwaumiza na hao wengine, lakini kwanini hao hawajahusika kutoa lugha chafu?
Na ndio maana TFF imetoa barua ya wito kwa ajili ya kusikiliza maelezo ya oande zote mbili, TFF haijasema manara kwa alichokifanya jana basi ameadhibiwa asifanye hiki na hiki kwa hiyo bado naona manara anayo nafasi kama kweli alikuwa na haki
Kwani karia haruhusiwi kuchagua upande wa kushangilia katika mechi. Hizi kanjanja tuu manara lazima wampige za uso.
Karia alisema yote ayo pasipo ugomvi. Jukwaa lina wana yanga wengi kwa nini awe manara wa kupayuka?..
LowasaKwa kila story ina two sides, Mr.Manara hakukurupuka tu ,na hatujui Mr.Kiria alimwambia nini Mr.Manara, Ile mentality tuliyokua nayo kuwa viongozi hawakosei ndio inatuweka hapa tulipo, hivi kuna leader yeyote kwenye historia ya nchi yetu ambaye alishawahi to apologize ?,nikipewa hata mfano mmoja hapa,nita withdraw na to apologize kwa comment yangu hii.
Aende tuu kutoa ushahidi
Aisee! nimesoma vizuri hoja yako na naheshimu maoni yako ila binafsi naona ni busara kum judge huyo dogo katika makosa ya kinidhamu kwa kukaa eneo ambalo haruhusiwi na sio kwa madai ya USHIRIKINAJana uwanjani kuna mtu ni mdogo tu kiumri alikuwa kakaa benchi la ufundi na begi lake
na halikuwa hajurikani ana majukumu gani
kuna mambo alikuwa anayafanya kishirikina LIVE
waliookaa VIP tulimuona na hata yeye KARIA alimuona pia
yaan mchezaji wa YANGA akishika mpira anaenda golini hasa mayele anatikisatikisa begi lake basi kimaajabu magori ya wazi yanakoswa
sasa wakati wa half time. huyo dogo wa Coastal alikuwa amekaa kwenye bench lao la ufundi watu wa Yanga wakawa wamemsoma kuwa ndio anavuruga mechi kwa ushirikina
Sasa half time baada tu ya filimbi dogo akatoka nduki mbio kutoka kwenye bench kwenda vyumbani
kumbe tayari watu wa tumeshamsomea akawekewa mtego akadakwa akapokonywa begi Ikatokea ugomvi na karia akaingilia kutetea liludishwe BEGI husasani akiwa upande wa Coastal Kutetea ilihali hata yeye mambo ya koshirikina yalionwa live.
Hajj ndio hapo nae akawa anatetea upande wa Yanga ndio ulatokea huo huo mzozo majibizano na KARIA
inasemakana alitamka haya mambo gani ya KISENGE akimaanisha ushirikina
ndio akazushiwa zengwe kamtukana KARIA lkn sivyo hivyo
HAJI kakosea ndio kujibizana na RAISI WA TFF ni UTOVU WA MIDHAMU mana KIBONGOBONGO kiongozi anajiona ni LIDUDE Flan kubwaaa ukimueleza ukweli akawa haupendi KIBAO lazima kikigeukie hata kama ni jambo la kawaidah ilikuwa ni JAZBA 7bu baada kulifungua lile BEGI la mganga
kukakutwa majina ya wachezaji wa yanga wote
na vikolokolo vya ushirikina
nakuwekea VIDEO hapa chini uone baada kulifungua lile begi vikarakasi vimeandikwa majina ya wachezaji wote
KARIA yeye kama KIONGOZI na vitendo vya USHIRIKINA vilionekana wazi alitakiwa akemee ikizingatiwa ni mapumziko angekutana na viongozi wote akaonya hilo jambo
sasa baada kuonya anawetetea COASTAR
ndio hapo HAJI jazba zikampanda wakatupiana maneno na karia
TANZANIA TUKIENDEKEZA UCHAWI SOKA LETU HALIWEZI KUFIKA MBELE
HAYA MAMBO YANATAKIWA YAKEMEWE SIO KUTETEA KAMA HABARI ALIZOLETA KARIA HAIKUPENDEZAView attachment 2279953View attachment 2279954
Yaani Uto kuna shida sana. Changia hoja dada, siyo kubana baba pua.neno "upuuzi" ni la utani si matusi, hata kuitwa "mjinga" si tusi!
Hivi Kolo FC mbona makombe ya Yanga yamewauma sana? Mnataka kumtoa Haji kafara ili mjipoze au kuivuruga Yanga?
Tutaifunua kwa ngivu mioyo yenu Kolo FC wote tuone kiwango cha hasira uchungu ghadhabu na chuki mlizojaza!! na bado Ngao ya jamii tunafumua mshono!!
maneno meeengi kumbe ndio huu upuuzi? unadhani kwa nini viongozi wengine wa Yanga hawakumkashfu Karia isipokuwa Manara?Jana uwanjani kuna mtu ni mdogo tu kiumri alikuwa kakaa benchi la ufundi na begi lake
na halikuwa hajurikani ana majukumu gani
kuna mambo alikuwa anayafanya kishirikina LIVE
waliookaa VIP tulimuona na hata yeye KARIA alimuona pia
yaan mchezaji wa YANGA akishika mpira anaenda golini hasa mayele anatikisatikisa begi lake basi kimaajabu magori ya wazi yanakoswa
sasa wakati wa half time. huyo dogo wa Coastal alikuwa amekaa kwenye bench lao la ufundi watu wa Yanga wakawa wamemsoma kuwa ndio anavuruga mechi kwa ushirikina
Sasa half time baada tu ya filimbi dogo akatoka nduki mbio kutoka kwenye bench kwenda vyumbani
kumbe tayari watu wa tumeshamsomea akawekewa mtego akadakwa akapokonywa begi Ikatokea ugomvi na karia akaingilia kutetea liludishwe BEGI husasani akiwa upande wa Coastal Kutetea ilihali hata yeye mambo ya koshirikina yalionwa live.
Hajj ndio hapo nae akawa anatetea upande wa Yanga ndio ulatokea huo huo mzozo majibizano na KARIA
inasemakana alitamka haya mambo gani ya KISENGE akimaanisha ushirikina
ndio akazushiwa zengwe kamtukana KARIA lkn sivyo hivyo
HAJI kakosea ndio kujibizana na RAISI WA TFF ni UTOVU WA MIDHAMU mana KIBONGOBONGO kiongozi anajiona ni LIDUDE Flan kubwaaa ukimueleza ukweli akawa haupendi KIBAO lazima kikigeukie hata kama ni jambo la kawaidah ilikuwa ni JAZBA 7bu baada kulifungua lile BEGI la mganga
kukakutwa majina ya wachezaji wa yanga wote
na vikolokolo vya ushirikina
nakuwekea VIDEO hapa chini uone baada kulifungua lile begi vikarakasi vimeandikwa majina ya wachezaji wote
KARIA yeye kama KIONGOZI na vitendo vya USHIRIKINA vilionekana wazi alitakiwa akemee ikizingatiwa ni mapumziko angekutana na viongozi wote akaonya hilo jambo
sasa baada kuonya anawetetea COASTAR
ndio hapo HAJI jazba zikampanda wakatupiana maneno na karia
TANZANIA TUKIENDEKEZA UCHAWI SOKA LETU HALIWEZI KUFIKA MBELE
HAYA MAMBO YANATAKIWA YAKEMEWE SIO KUTETEA KAMA HABARI ALIZOLETA KARIA HAIKUPENDEZAView attachment 2279953View attachment 2279954
Eti' Takadini. 😀..watu mna maneno!Huyu Takadini anajiona yeye yuko juu sana kisa u zeru zeru wake, utadhan dunia nzima papai ni yeye tyuuh, msieeeeew anaboa mnoo.
Apewe adhabu inayostahili na kosa lake, apate funzo.
NyerereKwa kila story ina two sides, Mr.Manara hakukurupuka tu ,na hatujui Mr.Kiria alimwambia nini Mr.Manara, Ile mentality tuliyokua nayo kuwa viongozi hawakosei ndio inatuweka hapa tulipo, hivi kuna leader yeyote kwenye historia ya nchi yetu ambaye alishawahi to apologize ?,nikipewa hata mfano mmoja hapa,nita withdraw na to apologize kwa comment yangu hii.