Jana uwanjani kuna mtu ni mdogo tu kiumri alikuwa kakaa benchi la ufundi na begi lake
na halikuwa hajurikani ana majukumu gani
kuna mambo alikuwa anayafanya kishirikina LIVE
waliookaa VIP tulimuona na hata yeye KARIA alimuona pia
yaan mchezaji wa YANGA akishika mpira anaenda golini hasa mayele anatikisatikisa begi lake basi kimaajabu magori ya wazi yanakoswa
sasa wakati wa half time. huyo dogo wa Coastal alikuwa amekaa kwenye bench lao la ufundi watu wa Yanga wakawa wamemsoma kuwa ndio anavuruga mechi kwa ushirikina
Sasa half time baada tu ya filimbi dogo akatoka nduki mbio kutoka kwenye bench kwenda vyumbani
kumbe tayari watu wa tumeshamsomea akawekewa mtego akadakwa akapokonywa begi Ikatokea ugomvi na karia akaingilia kutetea liludishwe BEGI husasani akiwa upande wa Coastal Kutetea ilihali hata yeye mambo ya koshirikina yalionwa live.
Hajj ndio hapo nae akawa anatetea upande wa Yanga ndio ulatokea huo huo mzozo majibizano na KARIA
inasemakana alitamka haya mambo gani ya KISENGE akimaanisha ushirikina
ndio akazushiwa zengwe kamtukana KARIA lkn sivyo hivyo
HAJI kakosea ndio kujibizana na RAISI WA TFF ni UTOVU WA MIDHAMU mana KIBONGOBONGO kiongozi anajiona ni LIDUDE Flan kubwaaa ukimueleza ukweli akawa haupendi KIBAO lazima kikigeukie hata kama ni jambo la kawaidah ilikuwa ni JAZBA 7bu baada kulifungua lile BEGI la mganga
kukakutwa majina ya wachezaji wa yanga wote
na vikolokolo vya ushirikina
nakuwekea VIDEO hapa chini uone baada kulifungua lile begi vikarakasi vimeandikwa majina ya wachezaji wote
KARIA yeye kama KIONGOZI na vitendo vya USHIRIKINA vilionekana wazi alitakiwa akemee ikizingatiwa ni mapumziko angekutana na viongozi wote akaonya hilo jambo
sasa baada kuonya anawetetea COASTAR
ndio hapo HAJI jazba zikampanda wakatupiana maneno na karia
TANZANIA TUKIENDEKEZA UCHAWI SOKA LETU HALIWEZI KUFIKA MBELE
HAYA MAMBO YANATAKIWA YAKEMEWE SIO KUTETEA KAMA HABARI ALIZOLETA KARIA HAIKUPENDEZA
View attachment 2279953View attachment 2279954