Ukisikia ulofa ndiyo huo. Kumbe ninyi mlimjua kuwa ana mdomo mchafu lakini bado mkampokea tena kwa mbwembwe mtu aliyewakashifu, eti kuwakoga Simba.tatizo la manara mlililea nyinyi makolo . alipokuwa akiwakashifu yanga na kuwatukana hamkuwa kunyanyua midomo yenu kumkanya. Leo ndo mmejua kuwa jamaa ni mlopokaji?
Sasa nani mwenye hasara. Yaani unajua kabisa kuwa huyu ni kahaba halafu unamuoa!!!!
Alipoonywa hukuona alifura na kuporomosha maneno mabovu kwa CEO. Halafu ninyi mpaka hivi leo mnaimba wimbo kuwa alionewa.
Mzigo wenu huo ubebeni.
Huyo hajui shukrani. Subirini siku mtakayomkosea atakavyowakashifu. Utamsikia "Acheni kunifedhuli, nimekuja nimeleta makombe na kuwapumzisha kupanda Kimbinyiko angalau na ninyi mpande ndege. ........" Ipo siku Utakumbuka maneno haya.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app