TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

Kagera walikata rufaa kua mchezaji wao hana kadi 3 leo imezibitika kweli alikua ana kadi 3 alafu point wanapewa only in bongo
 
huyu jamaa kafungiwa kwa kulilia point za mezani.

Aibu ya Maandamano Sc.

 
Hahahaa! Sio kwa hasira hizo mkuu inabidi mkubali tu ndio mpira huo.
 
Reactions: BAK
Swala nimchezaji alikua na kadi au hana? mbona alivyoitwa kuhojiwa pamoja na viongozi wao kagera wanasema alikua na kadi 2 leo Tff wanasema ana kadi 3 ataitumikia mechi ijayo...wewe kiazi malinzi acha ukabila
Mkuu, umenifanya nirudie kuusoma uzi upya; hapo kweny bold umepatoa wapi?
 
Soka la bongo madudu matupu! Hata hao wanaotuwakilisha si vilabu sio timu ya taifa! Ni umbumbumbu tu! Na kuanzia Leo sishabikii soka la bongo maana Mimi huwa sipangiwi!
 
Simba wanakumbushiwa tu sakata la Lufunga kuwa na red card akawepo kwenye kikosi dhidi ya Police Dar, kamati hii inayoongizwa na Simba ikaitupa rufaa ya Police kwa kigezo cha kuletwa nje ya muda na haikulipiwa ada leo hii Simba nao wanakosa kumbukumbu yaani wanakata rufaa nje ya muda na tena sio kwa maandishi na hawakulipa ada.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu nzuri, ni Simba hawa walimchezesha Ajib akiwa na kadi 3 wakadai wameiandikia bodi ya ligi mchezaji awe anachagua mechi.
Muosha huoshwa japo siikubali tff ila simba ndio waasisi wa hii michezo ya kitoto.
 
Reactions: MTK
Kwa hiyo kwenye hukumu suala la mchezaji kupewa kadi 2,1,0 au tatu ni exclusive kabisa? Yaani ukweli wa idadi kadi alizopewa mchezaji limekuwa nullified na kasoro hizo?
Kazi ipo!
 
Mimi nilifikiri wameangalia SUBSTANCE ya madai yenyewe kumbe wamejikita kwenye FORM? irregularity hizo kisheria ni curable na ni maoni yangu kuwa wangetoa hukumu ya re trial tofauti na walivyofanya kuwatolea nje madai yao kwa technical ground.
 
Kimsingi maamuzi haya ni kuiokoa mikia tu!!
 
daa masikini mnyama sasa hawezi kuwinda tena sasa usubiri ufe tuu
au wamtafute Bashite akaliibe kombe pale TFF
 
Poleni sana vikojozi, na hiii ndiyo hasara ya kutegemea ppkubebwa bebwa kwa mbeleko ya chuma, next time mjifunze kushinda uwanjani! Mliwa nyonga polisi dar sasa kamba hiyo hiyo imenyonga na nyinyi!
 
Ukiuwa utakufa kwa upanga hii hii sheria ndio iliwanyima haki police dar dhidi ya simba kwenye kombe la FA
 
Nasikia Simba wamepanga kuandamana ili utaratibu ubadilishwe - mpira uchezwe mezani na ugali uliwe uwanjani.....
 
Reactions: MTK
Huyu dogo mtoa povu miezi kumi na mbili haimtoshi.
 
Reactions: MTK
Nasikia Simba wamepanga kuandamana ili utaratibu ubadilishwe - mpira uchezwe mezani na ugali uliwe uwanjani.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…