TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

Mbona
Safi sana, wajifunze kutafuta ushindi viwanjani sio mezani kwa njia za rushwa!
Serengeti boys nao, walipewa pointi za mezani, nani alitoa rushwa. Kichwa chako hakina akili!
 
A
Swala nimchezaji alikua na kadi au hana? mbona alivyoitwa kuhojiwa pamoja na viongozi wao kagera wanasema alikua na kadi 2 leo Tff wanasema ana kadi 3 ataitumikia mechi ijayo...wewe kiazi malinzi acha ukabila
Kwanza huyo mtani wangu mpira ameucheza wapi???Nashangaa alipitia wapi.
 
Back
Top Bottom