TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

Hawa jamaa walidhani TFF ya babu yao, wanacheza halafu wanaenda kulala vitandani, wakichoka kulala ndo wanaenda kukata rufaa wakati muda umekwisha, tena kwa ulimi badala ya maandishi!! Halafu hata hela ya kulipia rufaa hawana, si wanamfadhili wao anaitwa MO?
 
Hans Pope nae saa hizi anakunywa supu ya miba anashushia na kokoto za kunduchi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani point 3 kirahisi rahisi hivyo kweli. Hebu simba waache utani hata kama mpira umewashinda.
 
Ndio washaoshwa watulie kelele za nini?
 
Katika hizo sqbabu hoja ya msingi haijaonyeshwa je anakadi tatu za njano?
 
Mo alishakimbilia Singida United baada ya kushindwa kujimilikisha SSC!
 
Mimi nilifikiri wameangalia SUBSTANCE ya madai yenyewe kumbe wamejikita kwenye FORM? irregularity hizo kisheria ni curable na ni maoni yangu kuwa wangetoa hukumu ya re trial tofauti na walivyofanya kuwatolea nje madai yao kwa technical ground.
Mpira uwanjani

huyu jamaa kafungiwa kwa kulilia point za mezani.

Aibu ya Maandamano Sc.
 
Wacheze mpira waache siasa
 
Mo alishakimbilia Singida United baada ya kushindwa kujimilikisha SSC!
Duh! nilikuwa oudated mkuu, kumbe MO alishasepa!.Ndo mana wanaweweseka...
 
Kwa hiyo kwenye hukumu suala la mchezaji kupewa kadi 2,1,0 au tatu ni exclusive kabisa? Yaani ukweli wa idadi kadi alizopewa mchezaji limekuwa nullified na kasoro hizo?
Kazi ipo!
Hii ni Africa
 
Cha ajabu hawajaongelea hili, wanadai Simba hawakulipa 300,000 ya shitaka lao pia walichelewa kushtaki ati
Umesahau Polisi waliponyimwa points za mezani kutoka kwa simba kwa grounds hizo hizo? (1).kuchelewa kukata rufaa ndani ya masaa 72 (2) kutokulipia T sh 300,000 ambayo ni ada ya rufaa. mazingira ni hayo hayo na kanuni ipo....what goes around comes around,muhimu simba wakumbuke kuwa kinachokwenda na kukufaidisha,kikirudi na kukupa hasara inabidi uoneshe uungwana kwa kuwa mpole, kama inauma ni kuziangalia kanuni kwa pamoja na kuziondoa zilizo mbaya,zikishakaa kwenye mstari ni kujiandaa kunyolewa tu.
 
Safi sana wenzetu ulaya matokeo ya uwanjani(kama, si tatizo linaloathiri mfumo mzima na hadhi ya ligi) yanabakia uwanjani,matatizo madogo kama huo upuuzi ambao ni kosa la TFF na uongozi wa klabu kutokutunza kumbukumbu watu wanapigwa faini au wanafungiwa mpira unaendelea.Huwezi kuwanyima haki wachezaji wa Kagera waliovuja jasho dakika 90 kisa ujinga wa viongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…