G Gne gner JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 501 Reaction score 278 Apr 24, 2017 #61 dancher said: katibu anasema eti kama alikuwa na kadi tatu za njano ataitumikia ktk mchezo ujao soka la bongo bhana............limenishinda Click to expand... Ndio yupo sahihi asilimia 100 kwani ajibu ilikuaje
dancher said: katibu anasema eti kama alikuwa na kadi tatu za njano ataitumikia ktk mchezo ujao soka la bongo bhana............limenishinda Click to expand... Ndio yupo sahihi asilimia 100 kwani ajibu ilikuaje
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Apr 24, 2017 #62 Na ile nyingine inaitwa G4 Club Mkuu. Gide MK said: Mezani fc Click to expand...
J Jakamoko Senior Member Joined Mar 14, 2017 Posts 156 Reaction score 93 Apr 24, 2017 #63 Mbona MTK said: Safi sana, wajifunze kutafuta ushindi viwanjani sio mezani kwa njia za rushwa! Click to expand... Serengeti boys nao, walipewa pointi za mezani, nani alitoa rushwa. Kichwa chako hakina akili!
Mbona MTK said: Safi sana, wajifunze kutafuta ushindi viwanjani sio mezani kwa njia za rushwa! Click to expand... Serengeti boys nao, walipewa pointi za mezani, nani alitoa rushwa. Kichwa chako hakina akili!
J Jakamoko Senior Member Joined Mar 14, 2017 Posts 156 Reaction score 93 Apr 24, 2017 #64 A Kazitunayo said: Swala nimchezaji alikua na kadi au hana? mbona alivyoitwa kuhojiwa pamoja na viongozi wao kagera wanasema alikua na kadi 2 leo Tff wanasema ana kadi 3 ataitumikia mechi ijayo...wewe kiazi malinzi acha ukabila Click to expand... Kwanza huyo mtani wangu mpira ameucheza wapi???Nashangaa alipitia wapi.
A Kazitunayo said: Swala nimchezaji alikua na kadi au hana? mbona alivyoitwa kuhojiwa pamoja na viongozi wao kagera wanasema alikua na kadi 2 leo Tff wanasema ana kadi 3 ataitumikia mechi ijayo...wewe kiazi malinzi acha ukabila Click to expand... Kwanza huyo mtani wangu mpira ameucheza wapi???Nashangaa alipitia wapi.