Tff ni tifutifu.. Huyo mwesiga kichwa cha majibu kama Rais wake..mlitegemea maamuzi gani zaidi ya haya. huyo barua yenyewe inakinzana na jinsi vyombo vya habari vilivyoreport kwani haisemi ni walichokubaliana imeishia katikati nadhani kaandika mbumbumbu mwesiga. ila kwa watu kwenye akili au Mimi kama ningekuwa ni huyo dogo maamuzi ya leo manake yupo huru....