Nadhani hilo la Singano ni la Simba.
Habari za chini zinasema TFF inaogopa kusema Simba imefoji mkataba wa miaka 3 maana itaharibu ''IMAGE'' ya klabu ya Simba na kusababisha kupoteza wadhamini wa klabu
Kufoji mikataba ni taaluma ya mikia. Kuna issue ikifia kwa Tabaigana. Aliwasave kwa kuwa yeye ni mikia damu. Ipo siku wataumbuka. Kuna watu mahakama zinawaita kwa hizi forgery.
Tff ni tifutifu.. Huyo mwesiga kichwa cha majibu kama Rais wake..mlitegemea maamuzi gani zaidi ya haya. huyo barua yenyewe inakinzana na jinsi vyombo vya habari vilivyoreport kwani haisemi ni walichokubaliana imeishia katikati nadhani kaandika mbumbumbu mwesiga. ila kwa watu kwenye akili au Mimi kama ningekuwa ni huyo dogo maamuzi ya leo manake yupo huru....
Simba ovyooo ndo wanaua vipaji vya mpira kwa kuwaonea wachezaj
Nani aliekuambia yanga walifoji mkataba wa okwi!!!Swala LA Okwi mlifanyaje...
Huyu Hans Pope ndo bure kabisa, yan anavyojaribu kurubuni uma hv hv
Anaongea e FMMkuu katika mkutano wa TFF ulioamua hili suala, wajumbe waliokuwapo ni;
1. Collin Frisch - Simba SC
2. Ramadhan Singano
3. Kisoki - Mwenyekiti Sputanza
4. Celestine - Katibu TFF
Sasa hapa Hans Pope anaingiaje Mkuu?
Anaongea e FM
Leo hii ndio siku ambayo sakata la Ramadhan Singano a.k.a Messi lilikua linasikilizwa kwenye ofisi za TFF ambapo pande mbili zilikutana chini ya TFF.
Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya TFF ni kwamba kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. So, kikao kimeamua kwamba mkataba wa alionao Messi uvunjwe na mkataba walionao Simba uvunjwe waingie makubaliano mapya. Upande wa Singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwasababu unamtaka yeye akubaliane na Simba tena.
Lakini kwa mujibu wake ni kwamba anatakiwa kuwa huru kama mkataba umevunjwa na sio kukubaliana upya na Simba. Singano anataka kuwa mchezaji huru ndio aamue mwenyewe kama kuongea na Simba au club nyingine.
Chanzo: Shaffih dauda
makosa yapo kwq simba ila tff imeilinda timu ya simba
Habari za chini zinasema TFF inaogopa kusema Simba imefoji mkataba wa miaka 3 maana itaharibu ''IMAGE'' ya klabu ya Simba na kusababisha kupoteza wadhamini wa klabu
Aende hana jipya. Msuva mdogo atacover nafasi yake. mtu hata kitanda huna unataka m50 na gari??
Hapa hakuna kutumia busara hata kidogo. Yaani wameficha jinai halafu tunawasifu wametumia busara? Hili suala ilibidi liende kwenye vyoumbo vya sheria ili kutoa onyo wa wapuuzi wengine wasijaribu kufanya forgery. Simba wameforge mkataba na kuongeza mwaka mwingine mmoja. Huu ni uhuni na ni jinai.
Tiba
Kinachoamua awepo au asiwepo huru ni mkataba uliopo ndani ya ofisi za TFF. Mkataba uliopo TFF ni wa miaka mitatu, sasa akisaini timu nyingine atashindwa tu kesi kama Ngasa alivyoshindwa, na atalazimika kukosa mechi sita, kuilipa fidia Simba na riba juu. Kumbukeni madhara yaliyomkuta Ngasa hadi akakopa hela benki na deni lile ndilo limemkimbiza Yanga kwa kuwa walimdanganya kuwa watasaidia kumlipiaMimi kama ningekuwa ni huyo dogo maamuzi ya leo manake yupo huru....
leo hii ndio siku ambayo sakata la ramadhan singano a.k.a messi lilikua linasikilizwa kwenye ofisi za tff ambapo pande mbili zilikutana chini ya tff.
Baada ya kikao kirefu muafaka uliofikiwa chini ya tff ni kwamba kuvunjwa kwa mikataba yote miwili ambayo inatofautiana. So, kikao kimeamua kwamba mkataba wa alionao messi uvunjwe na mkataba walionao simba uvunjwe waingie makubaliano mapya. Upande wa singano haujakubaliana na maamuzi hayo kwasababu unamtaka yeye akubaliane na simba tena.
Lakini kwa mujibu wake ni kwamba anatakiwa kuwa huru kama mkataba umevunjwa na sio kukubaliana upya na simba. Singano anataka kuwa mchezaji huru ndio aamue mwenyewe kama kuongea na simba au club nyingine.
Chanzo: Shaffih dauda