TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

kuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yao
Sijui nani alifikiria vibaya kumweka huyu ! Kwa kweli jana nimemwangalia nikachoka!Wanatufanya watu wote wapumbavu!
Aise, kumbe tulifanana hivyo? Najiuliza tu, hivi hawa wakubwa hawajui kabisa kwamba jamaa hapendeki kabisa kwa tulio wengi? Binafsi nilipanga kama sitokwenda mpirani then nitaangalia, baada ya kuiona hiyo sura jana, moyo wote uliingia nyongo na infact kila ninapo muonaga kwenye tv, huaga nabadiri channel.
 
Hawana kamati za ushindi kama huku, michezo yao inajitegemea haichanganywi na umaarufu wa kisiasa.

Cha muhimu ni kuyaweka pembeni kila aina ya maovu ya kijamii na kuitazama bendera ya taifa. Hakuna wanadamu wakamilifu chini ya jua.
Umwagaji wa damu hauna nafasi kwangu.
 
Aise, kumbe tulifanana hivyo? Najiuliza tu, hivi hawa wakubwa hawajui kabisa kwamba jamaa hapendeki kabisa kwa tulio wengi? Binafsi nilipanga kama sitokwenda mpirani then nitaangalia, baada ya kuiona hiyo sura jana, moyo wote uliingia nyongo na infact kila ninapo muonaga kwenye tv, huaga nabadiri channel.
Inacheza timu ya taifa hachezi huyo bwana mdogo. Lakini ukisusa wewe sisi wengine hatuwezi kususa, tunao wimbo mmoja tu wa taifa.
 
Wazazi wake Ben Saanane ama Mke wake Azory Gwanda wanawezaje kuuona Ushindi wa Taifa Stars kama ni Uzalendo?
nyie watu shikamooni
Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Tundu Lissu ndio aliyeondoa CCTV kwenye hayo maeneo? Na ndio yeye aliyewaondoa walinzi Siku akishambuliwa? Tena ndio yeye amesababisha Polisi wasifanye uchunguzi?
Wanadai Tundu ni mtundu mtundu tokea bado mtoto, kwa hio kabla ya kujipiga risasi aliparamia ukuta akang'oa sisitivi kamera zote halafu akawahonga walinzi waende wakatembee kisha akajipiga binduki puu, puuu, puuuuu 17 katika mwili wake, halafu baada ya hapo akajitorosha mpaka Nairobi ili kukwepa uchunguzi usifanyike.
Yaani kuna mijitu haina hata aibu kabisa ila uzuri Mungu yupo aktivu masaa 48 na waliohusika an hili wataanza kukiona hapahapa kabla ya kurudisha hesabu.

Maendeleo hayana chama
 
Binduki ileile itatumika kumtusua aliyesababisha mtundu ajipige binduki.
Karma is a bitch.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongolendi ina vituko sana yaani majamaa yanatuchukulia kama vile sisi ni mazezeta au misukule flani hivi ambayo akili zao hazina akili.

Maendeleo hayana chama
 
natakia kila la heri uganda cranes.
naipenda taifa star.
sipendi siasa za chuki isiyo na staha na uvimilivu.uganda ni ndgu zetu pia.
 
Wadau tuishangilie Taifa stars maana ndio wawakilishi wa nchi yetu Ushindi wao ni Ushindi wetu sote.
 
Wadau tuishangilie Taifa stars maana ndio wawakilishi wa nchi yetu Ushindi wao ni Ushindi wetu sote.
 
kwa maoni yangu tunafanya mkosa ya kiufundi hakukuwa na haja ya hiyo kamati hapo sioni matokeo yanayotarajiwa bac sawa
 
Back
Top Bottom