TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

TFF yaunda Kamati inayoongozwa na Paul Makonda ya kusaidia Taifa Stars ishinde kufuzu AFCON! Je, kazi yake ni nini hasa?

Wanadai Tundu ni mtundu mtundu tokea bado mtoto, kwa hio kabla ya kujipiga risasi aliparamia ukuta akang'oa sisitivi kamera zote halafu akawahonga walinzi waende wakatembee kisha akajipiga binduki puu, puuu, puuuuu 17 katika mwili wake, halafu baada ya hapo akajitorosha mpaka Nairobi ili kukwepa uchunguzi usifanyike.
Yaani kuna mijitu haina hata aibu kabisa ila uzuri Mungu yupo aktivu masaa 48 na waliohusika an hili wataanza kukiona hapahapa kabla ya kurudisha hesabu.

Maendeleo hayana chama
HAlafu baada ya kurekodi hiyo singo, wanataka na sisi tuamine? Mi nadhani sometimes hawa jamaa huaga wanatudharau sana bhana
 
HAlafu baada ya kurekodi hiyo singo, wanataka na sisi tuamine? Mi nadhani sometimes hawa jamaa huaga wanatudharau sana bhana
Wala hata hawatudharau ila sisi wenyewe tumeamua kujidharaulisha.

Maendeleo hayana chama
 
Hujanishawishi kabisa.
Ungekuwa ni mkenya au mganda ningepoteza muda kukushawishi lakini kama ni mtoto wa kitanzania ambaye mstarini kaimba sana Mungu ibariki kabla ya kuingia darasani basi sitakiwi nipoteze hata sekunde katika kukushawishi.

Kama umeimba nyimbo za kizalendo utotoni halafu ukubwani unataka ushawishiwe ili uinge mkono timu yako ya Taifa, tambua wewe ni sehemu tu ya wale wanafiki ambao kushughulikiwa kwao saa nyingine kunatisha sana.
 
Back
Top Bottom