Mama yangu ndiye aliyenirithisha akili ya utambuzi!Poa muhamasishe na mama yako ili muwe wengi Siku Hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yangu ndiye aliyenirithisha akili ya utambuzi!Poa muhamasishe na mama yako ili muwe wengi Siku Hiyo.
kuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yao
Aise, kumbe tulifanana hivyo? Najiuliza tu, hivi hawa wakubwa hawajui kabisa kwamba jamaa hapendeki kabisa kwa tulio wengi? Binafsi nilipanga kama sitokwenda mpirani then nitaangalia, baada ya kuiona hiyo sura jana, moyo wote uliingia nyongo na infact kila ninapo muonaga kwenye tv, huaga nabadiri channel.Sijui nani alifikiria vibaya kumweka huyu ! Kwa kweli jana nimemwangalia nikachoka!Wanatufanya watu wote wapumbavu!
Umwagaji wa damu hauna nafasi kwangu.Hawana kamati za ushindi kama huku, michezo yao inajitegemea haichanganywi na umaarufu wa kisiasa.
Cha muhimu ni kuyaweka pembeni kila aina ya maovu ya kijamii na kuitazama bendera ya taifa. Hakuna wanadamu wakamilifu chini ya jua.
Damu imemwagwa kabla mimi na wewe hatujazaliwa na itamwagika hata tukiwa tunaitwa marehemu.Umwagaji wa damu hauna nafasi kwangu.
Inacheza timu ya taifa hachezi huyo bwana mdogo. Lakini ukisusa wewe sisi wengine hatuwezi kususa, tunao wimbo mmoja tu wa taifa.Aise, kumbe tulifanana hivyo? Najiuliza tu, hivi hawa wakubwa hawajui kabisa kwamba jamaa hapendeki kabisa kwa tulio wengi? Binafsi nilipanga kama sitokwenda mpirani then nitaangalia, baada ya kuiona hiyo sura jana, moyo wote uliingia nyongo na infact kila ninapo muonaga kwenye tv, huaga nabadiri channel.
nyie watu shikamooniWazazi wake Ben Saanane ama Mke wake Azory Gwanda wanawezaje kuuona Ushindi wa Taifa Stars kama ni Uzalendo?
Kila Taifa huwahimiza wananchi wake kuwa Wazalendo! Hii ni silaha muhimu sana kwa ustawi na maendeleo ya nchi yoyote! Hata hivyo uzalendo wa wananchi kwa Mataifa yao haushuki kama mana! uzalendo ni tunda la haki,usaw,upendo na umoja! PKatika jamii iliyojaa chuki,uonevu ,fitna ,uzandiki na unafiki usitarajie kuwe na Uzalendo!
Wanadai Tundu ni mtundu mtundu tokea bado mtoto, kwa hio kabla ya kujipiga risasi aliparamia ukuta akang'oa sisitivi kamera zote halafu akawahonga walinzi waende wakatembee kisha akajipiga binduki puu, puuu, puuuuu 17 katika mwili wake, halafu baada ya hapo akajitorosha mpaka Nairobi ili kukwepa uchunguzi usifanyike.Hivi Tundu Lissu ndio aliyeondoa CCTV kwenye hayo maeneo? Na ndio yeye aliyewaondoa walinzi Siku akishambuliwa? Tena ndio yeye amesababisha Polisi wasifanye uchunguzi?
Wanadai Tundu ni mtundu mtundu tokea bado mtoto, kwa hio kabla ya kujipiga risasi aliparamia ukuta akang'oa sisitivi kamera zote halafu akawahonga walinzi waende wakatembee kisha akajipiga binduki puu, puuu, puuuuu 17 katika mwili wake, halafu baada ya hapo akajitorosha mpaka Nairobi ili kukwepa uchunguzi usifanyike.
Yaani kuna mijitu haina hata aibu kabisa ila uzuri Mungu yupo aktivu masaa 48 na waliohusika an hili wataanza kukiona hapahapa kabla ya kurudisha hesabu.
Maendeleo hayana chama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongolendi ina vituko sana yaani majamaa yanatuchukulia kama vile sisi ni mazezeta au misukule flani hivi ambayo akili zao hazina akili.Binduki ileile itatumika kumtusua aliyesababisha mtundu ajipige binduki.
Karma is a bitch.
kuingiza Makonda kumefanya robo 3 ya watanzania kuitosa timu yao
Haijalishi wewe endelea kutetea ushetani.Damu imemwagwa kabla mimi na wewe hatujazaliwa na itamwagika hata tukiwa tunaitwa marehemu.
Wadau humu amna za kukaanga kabisa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata shetani anao wafuasi na Mungu halikadhalika, mi nime quote mawazo ya hao tunao fanana, hi haina maana kwamba kwa mchina hawatakwenda watuInacheza timu ya taifa hachezi huyo bwana mdogo. Lakini ukisusa wewe sisi wengine hatuwezi kususa, tunao wimbo mmoja tu wa taifa.