OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hujanishawishi kabisa.Mkuu kama ushabiki wako wa Taifa Stars unauhusisha na matukio ya kisiasa basi sio vibaya ukakaa tu nyumbani, sisi wengine tutakuwakilisha.
Sidhani kama kitapungua kitu chochote. Misri inazo siasa chafu kuliko za kwetu lakini ni wababe wa soka wa Afrika.
HAlafu baada ya kurekodi hiyo singo, wanataka na sisi tuamine? Mi nadhani sometimes hawa jamaa huaga wanatudharau sana bhanaWanadai Tundu ni mtundu mtundu tokea bado mtoto, kwa hio kabla ya kujipiga risasi aliparamia ukuta akang'oa sisitivi kamera zote halafu akawahonga walinzi waende wakatembee kisha akajipiga binduki puu, puuu, puuuuu 17 katika mwili wake, halafu baada ya hapo akajitorosha mpaka Nairobi ili kukwepa uchunguzi usifanyike.
Yaani kuna mijitu haina hata aibu kabisa ila uzuri Mungu yupo aktivu masaa 48 na waliohusika an hili wataanza kukiona hapahapa kabla ya kurudisha hesabu.
Maendeleo hayana chama
Wala hata hawatudharau ila sisi wenyewe tumeamua kujidharaulisha.HAlafu baada ya kurekodi hiyo singo, wanataka na sisi tuamine? Mi nadhani sometimes hawa jamaa huaga wanatudharau sana bhana
Nyinyi bakini majumbani tu, watu watakwenda kuiangalia Taifa Stars, hakuna mtakachopunguza.Haijalishi wewe endelea kutetea ushetani.
Ungekuwa ni mkenya au mganda ningepoteza muda kukushawishi lakini kama ni mtoto wa kitanzania ambaye mstarini kaimba sana Mungu ibariki kabla ya kuingia darasani basi sitakiwi nipoteze hata sekunde katika kukushawishi.Hujanishawishi kabisa.