TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Huyo ni mjinga kupita kiasi yaani, ana hoja mbovu sana..! Ni Utopolo

Hivi unaweza kusema mimi MC wa Harusi halafu baadaye ukawaambia watu eti sijashiriki harusi ila nilikuwa MC tu, yaingia akilini kweli..?!

Lakini tusilaumu huenda akili yako ilivyo, yaani yale yale dereva wa gari la police si police [emoji16]
 
Sielewi hata umeandika wadudu gani hapo juu.

Hivi unaelewa maana ya "kufungiwa kujihusisha na shughuli za mpira"?

Kwani huo u MC haukuwa kwenye shughuli ya mpira?

Halafu wewe ndie unajiona "mwanasheria"!! hii nchi ina mambo sana...
Jamaa huwa anajifichia kwenye kichaka cha 'mimi sina ushabiki wa Usimba wala Uyanga" lakini comments zake always zinamuumbua na kumuonesha ni mtu wa ajabu kiasi gani katika mahaba ya timu anayoishabikia
 
Uzuri Manara aliisha wahi kusema hata ukiwa Engineer linapokuja suala la Yanga unakuwa kama hamnazo hivi...
Na walimtaja Engineer Hersi palepale.
 
Sasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
Kesi inaisha ki Masikhara [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naunga Mkono mashitaka ya TFF!
Tunataka nidhamu Nje na ndani ya uwanja!
Mimi mwananchi, lakini sikubaliani na dharau kwa mamlaka ya mpira nchini!
 
Huyu bwana hizi sifa za kusema sio shabiki ni kujificha tu, ni Yanga kindaki ndaki, jaribu kufatilia comments katika mijadala inayohusu simba na yanga utaona mrengo wake ulipo
 
Wakuu Secretariat ndio ilipeleka shauri kwenye Kamati ya Maadili ya Tff Baada ya hyo Secretariat pia Kupokea Malalamiko kutoka Kwa Karia.
.
Mawakili Wa Manara wanasema ukifanya perusal kwenye faili lililoko kwenye Kamati ya Maadili ya Tff kutoka secretariat ya Tff Hakuna ppote ambapo Karia ameandika malalamiko yake.
.
Mimi nashangaa Kwa nn Kamati haikumuita Karia awe Shahidi Hata Kama matter ulienda exparte Hg??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni Usomali (uasili) hata Karia ni Msomali na mgeni rasmi ni Msomali kwahiyo Wasomali walikutana jana.
 
Safi sana TFF ifike hatua dharau zifike mwisho.
mnajua kabisa huyu mtu ana adhabu bado mnampa maiki atangaze wachezaji wenu.hata Kama ni MC ile ni shughuli ya mpira sio msiba Wala harusi.
Ingekuwa ni msiba wa utopolo amekwenda kufanya uMC hapo sawa.
Mimi nashauri ili adabu iwepo.
UTOPOLO WASHUSHWE DARAJA
 
Upuuzi TFF wajinga Sana Mimi Simba lakin simpendi karia tangu alipo Anza kuhusisha Mpira na siasa pathetic
 
Jamaa huwa anajifichia kwenye kichaka cha 'mimi sina ushabiki wa Usimba wala Uyanga" lakini comments zake always zinamuumbua na kumuonesha ni mtu wa ajabu kiasi gani katika mahaba ya timu anayoishabikia
Mkuu proskaeur Nadhani wewe umemuelewa ndo maana mimi GHAZWAT nampiga mawe ya utosi mpaka aache Unafiki wake ajipambambanue ili watu wajue wanaongea na nani hapa, japo Kwangu binafsi najua kuwa huyu ni Utopolo Pure..!
 
Suala la Manara linachochewa zaidi na waandishi wa habari.
 
Engineer aliyesoma madrasa unategemea nini
Wenye akili ni wawili tu timu mafi.
 
Huyu bwana hizi sifa za kusema sio shabiki ni kujificha tu, ni Yanga kindaki ndaki, jaribu kufatilia comments katika mijadala inayohusu simba na yanga utaona mrengo wake ulipo
Mi nishamjua kitambo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…