TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Angekuwa anaiogopa asinge wapa barua
Wanaigopa Yanga na ndio mana wamewaita kwenye kamati ambayo tayari ishaamua juu ya Manara. Mimi kama ningekuwa TFF nisinge andika barua bali tayari inafamika Manara kafungiwa. So hapo kingeitwa kikao cha kuiadhibu Yanga full stop ,wangetoa barua ya kuiadhibu yanga.Sasa unawaita kwenye kikao kufanya nini wakati inafamika Manara kishafungiwa si ndio uwoga wenyewe huo.
 
Ile event si ya Engineer ni ya Yanga.

Wanaigopa Yanga na ndio mana wamewaita kwenye kamati ambayo tayari ishaamua juu ya Manara. Mimi kama ningekuwa TFF nisinge andika barua bali tayari inafamika Manara kafungiwa. So hapo kingeitwa kikao cha kuiadhibu Yanga full stop ,wangetoa barua ya kuiadhibu yanga.Sasa unawaita kwenye kikao kufanya nini wakati inafamika Manara kishafungiwa si ndio uwoga wenyewe huo
 
Nimeshangaa
Kasoma Chuo Gani Ama Wenye Akili Yanga Ni Wale Aliosema Hadji Manara
Humu kuelewana itakua ngumu mana kuna upenzi na chuki.watu mnajiona mnajua kutoa maelezo.wewe na sikubyako yabtecno hapo kwa shemej unataka kujifananisha na hersi? Target yako kimaisha ni ipi ? Ambayo mwenzio unahis na yeye hana Target hio
 
Hawakutakiwa kumrefer mtu in person Bali cheo Sabu hers n mtu anaweza asiwepo anytime so TFF haiendeshwi kiweredi Bali kihuni huni

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Umejikaza kabisa na kuchamba juu usinuke mavi kwamba kujua kingereza ndio una akili?
Akili yako haina utofauti na manara rangi tu zimewatofautisha
Morison jana hakukosea kusema yanga wengi mmekimbia shule
Sasa kwank ww mara kwanza uliongea nini? Yaani umesahau mpaka ulichokiongea mwanzo.
 
Uko sahihi ..
Inatakiwa kesi ielekezwe Kwa yanga sio Kwa rais wa yanga

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
TFF si wahuni tuu eti nao n wanasheria hiz taass ifike mahali wapewe watu wenye weredi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tayari nilijua tu kwamba huyu ataharibu zaidi.hapo bado ataendelea kuharibu.yaani kujiona,kujisikia,ni kitu kibaya sana
 
Viongozi wa Yanga Wanafanya Ujinga Wakiamini wanaungwa mkono na Serikali.

Na Anajitokeza Kiongozi wa Serikali alie teuliwa na Rais kuwatumikia Wananchi anasema Hakuona Kosa. Ni vyema Sana Hawa viongozi wa serikali Ushabiki wao Wakabaki nao kuliko kukurupuka na Kutoa Maoni ambayo yanaaibisha Uteule wa Rais.

Hata Kama Jana Manara Angealikwa Kama msafisha Uwanja Ilikuwa ni Kosa na Kuidharau TFF. Yanga wawe makini Sanaa.
 
Tukiwaambia Haji ameletwa Yanga kutuchafulia tu hali ya hewa,Kuna watu huwa wanaona tunamuonea wivu........yule jamaa hana adabu kabisa,hata kama tifuatifua wanamapungufu yao ila viongozi wa Yanga na jiesiemu wanazingua
 
Yanga wana timu nzuri sana ila uongozi wao utawafanya wamalize nafasi ya nne
Kwahili hapana,maana quality iliyopo Yanga huwezi fananisha na vitimu vyenu huko.....japo uongozi lazima ujitafakari sana wamtimue yule kirusi waliyemleta,arudi kwao
 
Watanzania tuungane pamoja (bila kujali utofauti wa timu zetu)katika kumpinga huyu byut byuti.

Who is Haji Manara by the way!!!
Kama ni Who is Haji Manara by the way!!! kwaninini unaomba kolabo?
Mkuu nilichojaribu kukiangalia siyo nguvu ya Haji Manara bali tuungane kuukataa upumbavu wake kwa sababu anaidhalilisha sekta ya michezo
 
Ujinga ujinga na viongozi wajinga jinga wasiojipambanua Kama club yenye ueledi na kufata sheria, yani hao wanakua Wa kwanza kuvunja sheria alafu wanarudi kwa wananchi kulia lia, manara asingetokea Jana yote yangetokea?
 
Mkuu nilichojaribu kukiangalia siyo nguvu ya Haji Manara bali tuungane kuukataa upumbavu wake kwa sababu anaidhalilisha sekta ya michezo
Mimi nilijuwa mwenye nguvu akitaka kumtia adabu asie na nguvu huwa hahitaji kolabo.
Mfano US alienda kumkamata Rais wa nchi ya Nicaraque bila kolabo, aliwahi kuishambulia ikulu ya Gadaffi kwa lengo la kumuua bila kolabo.
Otherwise ile sentensi ya mwisho ilikuwa haihitajiki pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…