Wamekosea Kwa Hersi Kushitakiwa personally badala ya Kuishitaki Taasisi Ya Yanga Ambayo Hyo Taasisi ina Bodi ya Wadhamini.
.
Hawa Tff Kama Akili Hawana
.
Hersi ametambuliwa kama Rais Wa Yanga so Maamuzi Yoyote anayoyafanya Hersi anakuwa under capacity ya Rais Wa Yanga na Sio Yeye Personally.
.
Maana yake Ni kwamba ilitakiwa ishitakiwe Board of Trustees ya Yanga na Sio Hersi Kwa Majina Yake.
.
Hersi Hajafanya Makosa Bali Taasisi inayoitwa Yanga ndio imefanya Makosa.
.
Hyo Secretariat ya Tff itabidi ithibitishe bila kuacha shaka Kwamba Ni lini Hersi amemuita Haji aje uwanjani Kuwa MC Wa Yanga Whether Kwa Barua au Kwa maneno.
.
Kuna wakati Lazima Uwe na akili ya Kufikri Vyema.
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app