TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu.

Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.

Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu.
Mkuu dont judge a book by its cover. Yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. Ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
 
Tff, fungia yanga kutoingiza mashabiki wao kwa nusu msimu, ili akili zao zikae sawa, wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo sana.
Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.

Huoni kwanza mpaka hapo wanaigopa Yanga, hili tukio ni la club na si la Hersi,Yanga ndio inatakiwa kuwajibika kwa 100%.
 
Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu.

Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.

Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu.
Injinia mzima unakuwa mhuni mhuni tu huheshimu hata mamlaka. Eti MC mwalikwa, utetezi wa kihuni kabisa huu.
 
mkuu dont judge a book by its cover. yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
Kile kitendo chake cha kumualika Manara jana nimemuona kumbe hamna mtu pale, ni hizo suti na sura ya upole tu kama unavyosema!.

Na Kitenge nae hovyo tu.
 
Tff imeanza kujitambua sasa hivi,tulidhani kuna watu wapo juu ya sheria na ni untouchable.
CAF wanaanza kikao Arusha halafu wanakutana na litimu lisumbufu kama hili.... Subiri waanze Kimataifa kuna marungu huko
 
Back
Top Bottom