TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Nimeshangaa
Kasoma Chuo Gani Ama Wenye Akili Yanga Ni Wale Aliosema Hadji Manara
Iv hili neno engineer n kweli au n jina wanampa tuu,maana namuona kama n mweupe kichwan
 
Hivi umeisoma Ile barua ya TFF
Nimeisoma ila sijaona sehemu inayo iwajibisha Yanga zaidi ya mtu mmoja mmoja, lile tukio ni la Yanga na Yanga ndiye anaye takiwa kuwajibika,kinyume chake TFF wanaigopa Yanga.
 
Mwambie karia na kamati yake ya mchongo waifungie yanga ndo utapata majibu ya unachouliza 😁😁😁😁 .
Jana manara kaja kwenye tamasha la YANGA lakini cha ajabu kamati ya maadili wamemfungulia mashtaka engineer hersi . waambie waifungulie mashtaka timu sio MTU .
Wanafungiwa tu na hakuna watakalofanya, mnaendeshwa na kelele za manara na siyo misingi ya soka, kwanza mtu anasema na kwa kutumia nguvu kubwa nimekuja hapa Kama MC na siyo mtu wa soka, si unaona keshajistukia anavunja sheria.
 
Vyema kabisa, Engineer anakuaje mhuni?
Huko kinye FC wenye akili ni wawili tu.
Jk na Mzee Manara baba yake Haji
Wengine ni misukule tu na itakuja hapa sio muda mrefu.

Uhuni wa kutoheshimu mamlaka hauwezi kuvumiliwa.
Waziri anaheshimu mamlaka inakuwaje mtu baki tu unaonesha mabavu dhidi ya mamlaka?
Ingekuwa enzi za mwendazake,huyu mtu anatekwa na kuminywa korodani aache kuketa usomali hapa nchini.
Hivi anajua matokeo ya yeye kama rais wa club kama yanga kuwa kinyume na mamlaka yakoje?
Hivi anachukulia poa suala hili?Au anataka kulazimisha serikali iingilie na nchi ifungiwe na FIFA?

Hivi level ya kufikiri licha ya kutokuwa na akili kumbe ipo chini kiasi hiki?
 
TFF itumie hekima manara alishaomba msamaha, Hapa inakuwa na sawa na mkulima anayekata mguu wake mmoja wakati huutumia mguu huo kuendea shambani.
 
Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.

Huoni kwanza mpaka hapo wanaigopa Yanga, hili tukio ni la club na si la Hersi,Yanga ndio inatakiwa kuwajibika kwa 100%.
Think twice. Yanga inaongozwa na watu. TFF walimpa barua ya kusimamia adhabu hii. WAKO SAHIHI
 
Safi sana.. Ni hatua muhimu.. Wasiishie hapo tu.
Haiwezekani wahuni wachache waka haribu image nzuri ya mpira wetu.. Piga spana hao
 
Back
Top Bottom