TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Wanasheria naomba mnisaidie hili,

Sina uhakika kama Haji amesha kata rufaa but nataka kujua kua endapo mtu ataikatia rufaa hukumu,mtuhumiwa katika kipindi cha kusubiri rufaa yake kusikilizwa atapaswa kuitekeleza ile hukumu yake katika kipindi hicho?
Yaleyale ya spika na wabunge 19 wa chadema .
 
Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".

Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.

Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
Kwenye page Yao ya Twitter wakaandika leo kutakuwa na sapraiz kumbe sapraiz yeynyewr ni huyo mzungu Pori..yanga Kama walipewa laana walupoambiwa wenye akili wawili Tu.. sasa mtu unaitwa engineer lkn unafanya vitu vya kibangi bangi km hivi !!! Inastaajabisha
 
Yanga ni nani?

Rais ndiye alifanya maamuzi na siyo vikao vya kinye FC.

Kama vikao vilibariki jambo hilo,club itabeba kesi maana mchuma janga hula na wa kwao
Yanga ni taasisi na ndio maana ataondoka Hersi ila still Yanga itabaki Yanga sio mtu.

Ulikuwepo wati Rais anafanya maamuzi au una assume, brother kwenye sheria hutakiwi KUASSUME, mistake kubwa sana ambayo mpinzani yako anaweza kuitumia na kukushinda.

TFF waache kuzunguka mbuyu, wawe straight wasiiogope Yanga waliokosea ni Yanga ,kwani Event ni ya Yanga na si Hersi.
 
Mwambie karia na kamati yake ya mchongo waifungie yanga ndo utapata majibu ya unachouliza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] .
Jana manara kaja kwenye tamasha la YANGA lakini cha ajabu kamati ya maadili wamemfungulia mashtaka engineer hersi . waambie waifungulie mashtaka timu sio MTU .
Timu huwa yapigwa faini tu
 
Hao FIFA hawakuona ya Chelsea na serikali ya uingereza?

Kwaiyo yanga na yenyewe unaifananisha na Chelsea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Chelsea ndo yanga ya jangwani?
 
Wakifanya hvo tunafungiwa na FIFA kama Kenya saiv hawqshiriki mashindano yoyote Yale.
Na ndio washenzi hawa wanataka hivyo maana wanaogopa sana kushiriki kimataifa kwani wataumbuka.
Walizoea kuhonga timu za ndani ili wapate ubingwa,sasa huko nje wanajiuliza watafanyaje na wanachotaka sasa ni kutuharibia sote
Sisi Simba tunataka kuweka records za kimataifa,wenzetu wanawaza siasa za kijinga za soka la kibongo.
Ukiona na kauli mbiu unaona wamejiandaa na mashindano ya urembo na sio soka
 
Kwaiyo yanga na yenyewe unaifananisha na Chelsea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Chelsea ndo yanga ya jangwani?
Si tumekubaliana kuwa timu zote ziko chini ya FIFA?😂😂😂😂
 
Wanasheria naomba mnisaidie hili,

Sina uhakika kama Haji amesha kata rufaa but nataka kujua kua endapo mtu ataikatia rufaa hukumu,mtuhumiwa katika kipindi cha kusubiri rufaa yake kusikilizwa atapaswa kuitekeleza ile hukumu yake katika kipindi hicho?
Kawaida unaanza kutumikia adhabu ukiwa unasubiri maamuzi ya rufaa, kukata rufaa hakuzuii adhabu uliyopewa kuanza kutekelezwa.
 
Manara, Hersi Wafunguliwa Mashitaka ya kimaadili na Sekretarieti ya TFF
Wamekosea Kwa Hersi Kushitakiwa personally badala ya Kuishitaki Taasisi Ya Yanga Ambayo Hyo Taasisi ina Bodi ya Wadhamini.
.
Hawa Tff Kama Akili Hawana
.
Hersi ametambuliwa kama Rais Wa Yanga so Maamuzi Yoyote anayoyafanya Hersi anakuwa under capacity ya Rais Wa Yanga na Sio Yeye Personally.
.
Maana yake Ni kwamba ilitakiwa ishitakiwe Board of Trustees ya Yanga na Sio Hersi Kwa Majina Yake.
.
Hersi Hajafanya Makosa Bali Taasisi inayoitwa Yanga ndio imefanya Makosa.
.
Hyo Secretariat ya Tff itabidi ithibitishe bila kuacha shaka Kwamba Ni lini Hersi amemuita Haji aje uwanjani Kuwa MC Wa Yanga Whether Kwa Barua au Kwa maneno.
.
Kuna wakati Lazima Uwe na akili ya Kufikri Vyema.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hata nakala za FIFA husomi sasa sijui mimi na ww nani anabweka, unaongea ongea tu ili mradi na ww uonekane unaongea kumbe kilaza.

Kasome kwenye website ya FIFA utaelewa zile hela za nini najua sio kosa lako bali ni Lugha ndio haipandi.
kwa hiyo mnaivimbia Tff sababu ya mapato!? mtajua hamjua msimu huu..
 
Tatizo hata nakala za FIFA husomi sasa sijui mimi na ww nani anabweka, unaongea ongea tu ili mradi na ww uonekane unaongea kumbe kilaza.

Kasome kwenye website ya FIFA utaelewa zile hela za nini najua sio kosa lako bali ni Lugha ndio haipandi.
Bora utulie tu, usituletee ujuaji wako usioeleweka hapa, nyie ndio wale mna akili za uswahilini bila Yanga mpira Tanzania utakufa.
 
Hii TFF nawapongeza sana, Manara na mwenzake wamezidi dharau. Toka hukumu yake anafungiwa alitamka waziwazi ilesiku iwe isiwe lazima awepo kwenye shamrashamra zile, hatojali kifungo
 
Back
Top Bottom