cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza Kuwa Kama Major Songolo Marine
Waziri Mkuu Alimuuliza Wewe Ni Major Wa Jeshi Akasema Hapana Ni Jina Tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anaweza Kuwa Kama Major Songolo Marine
Waziri Mkuu Alimuuliza Wewe Ni Major Wa Jeshi Akasema Hapana Ni Jina Tu
Umejikaza kabisa na kuchamba juu usinuke mavi kwamba kujua kingereza ndio una akili?Tatizo hata nakala za FIFA husomi sasa sijui mimi na ww nani anabweka, unaongea ongea tu ili mradi na ww uonekane unaongea kumbe kilaza.
Kasome kwenye website ya FIFA utaelewa zile hela za nini najua sio kosa lako bali ni Lugha ndio haipandi.
Wanashangaza mnooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwaiyo yanga na yenyewe unaifananisha na Chelsea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani Chelsea ndo yanga ya jangwani?
Kuwa Mc ni kushiriki soka? Yaani kuita "Abdalla njoo" unakuwa umeshiriki soka? Hizi sheria mmesomea chuo gani nyie. Hii kesi inashindwa kwenye Mahakama huru kabla ya saa 4 asubuhi. Hivi shabiki mmoja angemtukana Feitoto angeitwa na TFF? Au muuza karanga angemkanyaga mwenyekiti wa Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam, ingekuwa soccer case?Nilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".
Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.
Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
Yes Board of Trustees ya Yanga Ndio Inapashwa iwajibike Kama Hyo Board Ipo Kisheria. Hata Yanga Yenyewe Haiwezi Kushitakiwa Kama Bodi ya Wasimamizi Wa Mali za Yanga Wapo.TFF havimbiwi bali ni uoga wake mwenyewe wa kuiogopa Yanga,lile tukio ni la Yanga na si la Hersi,kwani Yanga ni taasisi itaendelea kubaki ila Hersi ataondoka na ataiacha Yanga.
Mpaka hapo TFF wanaiogopa Yanga lile tukio ni la Yanga na si Hersi, Yanga anatakiwa kuwajibika kwa 100%.
Kwenye hii mada ni Mimi na wewe tu tunaojua nani ni nani.TFF na sijui hawajui kutafsiri sheria, hapo inatakiwa waifungulie kesi Yanga na Manara.
Sasa Kwa Nini Wamwandikie Yeye Asimamie adhabu ya Mtu Ambae Ni mtumishi Wa Taasisi Ambayo yeye ndio msimamizi badala ya Taasisi.Hiyo taarifa ya TFF inasema; "sekretariati ya TFF ilimuandikia barua Mhandisi Said kuhakikisha Manara anatumikia adhabu"
Kitendo cha taarifa ya TFF kumtaja Mhandisi Said, na sio Rais wa Yanga SC, hapo tayari naona TFF kuna mtego wameukwepa.
Hapa inaonekana TFF walim refer Hersi kama mdau wa mpira wa miguu, na sio kama Rais wa klabu yake, hivyo sishangai akiitwa personally kujieleza.
Huwezi kumuita Kwa Jina lake ukasema Ni taasisi Mzee BabaAkikujibu nijulishe, akili atakuwa amezirudisha mahala pake, hajui kama Mhandisi kaitwa hapo kama taasisi akiwakilisha klabu yake ya wahuni hiyo.
Tff wanaogopa nini kuiita timu ya Yanga hadi wamuute engineer Hersi personal wakati ile event ilikuwa ya Yanga?Angekuwa anaiogopa asinge wapa barua
Mi mwenyewe nilikuwa najua lile neno Engineer limetokana na usomi kumbe ni nickname ya udalaliNilikuwa namuona Engineer Hersi anafanya mambo yake kisomi kumbe nae hamna kitu, ameiharibu sana title yake ya "Rais wa klabu".
Mtu unajua kabisa, Manara amefungiwa kujihusisha na shughuli za michezo ndani ya Tanzania, halafu eti unadai "kumualika" kwenye shughuli yako akawe MC!.
Kwani ile haikuwa shughuli ya michezo? Kama walitaka kumualika wangemualika kwenye harusi, lakini sio kumpeleka pale uwanjani, lile lilikuwa kosa la makusudi linalostahili adhabu kali kwa wote wawili.
Kwani Serikali ya uingereza waliitagert Chelsea au mmiliki wake? Chelsea ilikuwa kama aset 2 ya Romani kama vile meli na ndege so ulitaka fifa aingie vip?Yani siasa ndo kila kituu... Watu wanakaza ubongoo tuu
"Rais wa Yanga, Mhandisi" hebu nieleweshe mwanasheria kuhusu hiyo barua, haya kwa haya.Huwezi kumuita Kwa Jina lake ukasema Ni taasisi Mzee Baba
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hapo ndo naona Simba walikuwa sahihi kumtoa Manara....inaonyesha hajielewiCovid Ishaingia ndani ya Yanga... itaanza kuwatafuna taratibu!
Kwanini wamemfungulia hersi sio ww? kashtakiwa kama Rais wa club cz nakala alipelekewa yeye na alitakiwa asimamie so yeye ndio anabeba wajibu woteMwambie karia na kamati yake ya mchongo waifungie yanga ndo utapata majibu ya unachouliza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] .
Jana manara kaja kwenye tamasha la YANGA lakini cha ajabu kamati ya maadili wamemfungulia mashtaka engineer hersi . waambie waifungulie mashtaka timu sio MTU .