Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataelewaje tulishaambiwa wenye akili ni wawili tu?Hivi unaelewa maana ya haya maneno; "kufungiwa kujihusisha na shughuli za michezo"?
Unaomba msamaha, wakati mtu anafikiria akusamehe au lah unaongezea tena kosa jingine.TFF itumie hekima manara alishaomba msamaha, Hapa inakuwa na sawa na mkulima anayekata mguu wake mmoja wakati huutumia mguu huo kuendea shambani.
TFF havimbiwi bali ni uoga wake mwenyewe wa kuiogopa Yanga,lile tukio ni la Yanga na si la Hersi,kwani Yanga ni taasisi itaendelea kubaki ila Hersi ataondoka na ataiacha Yanga.kwa hiyo mnaivimbia Tff sababu ya mapato!? mtajua hamjua msimu huu..
Hao upeo wao ni zero, nguvu nyingi reasoning hakuna, upeo wao umeishia hapo, kwamba tff bila yanga haipo....Bora utulie tu, usituletee ujuaji wako usioeleweka hapa, nyie ndio wale mna akili za uswahilini bila Yanga mpira Tanzania utakufa.
Mipasho ambayo haina reference.Bora utulie tu, usituletee ujuaji wako usioeleweka hapa, nyie ndio wale mna akili za uswahilini bila Yanga mpira Tanzania utakufa.
Angekuwa anaiogopa asinge wapa baruaTFF havimbiwi bali ni uoga wake mwenyewe wa kuiogopa Yanga,lile tukio ni la Yanga na si la Hersi,kwani Yanga ni taasisi itaendelea kubaki ila Hersi ataondoka na ataiacha Yanga.
Mpaka hapo TFF wanaiogopa Yanga lile tukio ni la Yanga na si Hersi, Yanga anatakiwa kuwajibika kwa 100%.
Hiyo taarifa ya TFF inasema; "sekretariati ya TFF ilimuandikia barua Mhandisi Said kuhakikisha Manara anatumikia adhabu"Wamekosea Kwa Hersi Kushitakiwa personally badala ya Kuishitaki Taasisi Ya Yanga Ambayo Hyo Taasisi ina Bodi ya Wadhamini.
.
Hawa Tff Kama Akili Hawana
.
Hersi ametambuliwa kama Rais Wa Yanga so Maamuzi Yoyote anayoyafanya Hersi anakuwa under capacity ya Rais Wa Yanga na Sio Yeye Personally.
.
Maana yake Ni kwamba ilitakiwa ishitakiwe Board of Trustees ya Yanga na Sio Hersi Kwa Majina Yake.
.
Hersi Hajafanya Makosa Bali Taasisi inayoitwa Yanga ndio imefanya Makosa.
.
Hyo Secretariat ya Tff itabidi ithibitishe bila kuacha shaka Kwamba Ni lini Hersi amemuita Haji aje uwanjani Kuwa MC Wa Yanga Whether Kwa Barua au Kwa maneno.
.
Kuna wakati Lazima Uwe na akili ya Kufikri Vyema.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa nani ni muwakilishi wa ‘Taasisi’ kisheria?Yanga ni taasisi na ndio maana ataondoka Hersi ila still Yanga itabaki Yanga sio mtu.
Ulikuwepo wati Rais anafanya maamuzi au una assume, brother kwenye sheria hutakiwi KUASSUME, mistake kubwa sana ambayo mpinzani yako anaweza kuitumia na kukushinda.
TFF waache kuzunguka mbuyu, wawe straight wasiiogope Yanga waliokosea ni Yanga ,kwani Event ni ya Yanga na si Hersi.
Mnataka kuchanganya siasa na soka?? Muwaulize Kenya watawapa Majibu. Stay tunedSasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
Sasa, England unafananisha na TZ?? Kenya unaifahamu?? Kawaulize watakupa majibu.Hao FIFA hawakuona ya Chelsea na serikali ya uingereza?
kile ni kirusi... Simba hatumtaki!Wasichojua Yanga ni kua Manara damu yake ni Simba, ukute anawaingiza shimoni bila wao kujijua.
Acha Wenge. Hiyo ni sawa na sherehe. Haitambuliki na FIFASasa
Ccm ikiingilia bato... dadekiFiFA watawashukia kama mwewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si anakumbuka alivyo wagalagaza kule CASWe nae mjinga sana na yale madola wanayotoa FIFA kila mwaka kwa TFF mpaka malinzi akazitafuna yanatoka hapo utopoloni?
Morison jana hakukosea kusema utoh wengi mmekimbia shule
Wewe ni Yanga tangu lini mkuu??Yanga tusipotumia maarifa hiii ishu inaenda kutuharibia timu
"MANARA MUST GO,"
Akikujibu nijulishe, akili atakuwa amezirudisha mahala pake, hajui kama Mhandisi kaitwa hapo kama taasisi akiwakilisha klabu yake ya wahuni hiyo.Sasa nani ni muwakilishi wa ‘Taasisi’ kisheria?
Ni mbaya sana kuendekeza ushabiki wa kijinga kwa mambo kama haya.Hawapo sahihi kwani hata barua ya kusimamishwa Manara hakupewa Hersi ilipewa Yanga.
Kwa kifupi TFF wanaiogopa Yanga.