rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Mipaka ni wana tatizo na Manara sio Yanga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yanga walimuita manara kama walivyomuita zembwelaaa...Hebu iseme hiyo mipaka yao TFF ni ipi nasi tuijue?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mipaka ni wana tatizo na Manara sio Yanga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yanga walimuita manara kama walivyomuita zembwelaaa...Hebu iseme hiyo mipaka yao TFF ni ipi nasi tuijue?
Mbaya zaidi walimwalika Manara halafu na Mechi wakafungwa.... so we say that workdone is equal to..,..Tff imeanza kujitambua sasa hivi,tulidhani kuna watu wapo juu ya sheria na ni untouchable.
Yani siasa ndo kila kituu... Watu wanakaza ubongoo tuuHao FIFA hawakuona ya Chelsea na serikali ya uingereza?
Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga TFF inakufa? Kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.
Mpigieni Kinana basi....Hao FIFA hawakuona ya Chelsea na serikali ya uingereza?
Hao CAF walikuwa wapi kwa litimu lililowasha Moto uwanjani huko south Africa?CAF wanaanza kikao Arusha halafu wanakutana na litimu lisumbufu kama hili.... Subiri waanze Kimataifa kuna marungu huko
Hivi unaelewa maana ya haya maneno; "kufungiwa kujihusisha na shughuli za michezo"?Mipaka ni wana tatizo na Manara sio Yanga...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yanga walimuita manara kama walivyomuita zembwelaaa...
Kitu chochote cha kimakosa kwa nchi za Africa kinashuhulikiwa kwa haraka sana kuliko Ulaya..... sio mpira pekeeHao FIFA hawakuona ya Chelsea na serikali ya uingereza?
na hawawezi, zaidi kuwaharibia wadhamini waoYanga kuna kitu wanatafuta
Hivi kwa akili yako TFF inaendeshwa na mpato ya mechi za Kimataifa? Hivi unasikilizaga mchanganuo wa mapato wa mechi za kimataifa? Na hizi za ndani ?Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga tff inakufa?, kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.
Mimi mwnyw nahs hivyo,TFF na sijui hawajui kutafsiri sheria, hapo inatakiwa waifungulie kesi Yanga na Manara.
Ameichafua kabisa title yake ya "Rais wa klabu"Injinia mzima unakua mhuni mhuni tu huheshimu hata mamlaka. Eti MC mwalikwa, utetezi wa kihuni kabisa huu.
So kama mnafanya makusudi mtajua hamjuiHivi kwa akili yako TFF inaendeshwa na mpato ya mechi za Kimataifa? Hivi unasikilizaga mchanganuo wa mapato wa mechi za kimataifa? Na hizi za ndani ?
Ukishapata jibu najua ndio utakaa kimya.
Mwambie karia na kamati yake ya mchongo waifungie yanga ndo utapata majibu ya unachouliza 😁😁😁😁 .Ni adhabu, kwa hiyo unataka kusema bila Yanga tff inakufa?, kwanza waitegemee kwa lipi ilihali hata kimataifa ni wasindikizaji tu.
Hapana, kama Manara aliitwa na Engineer, atakuwa responsible aliyemuita , Sio Club.TFF na sijui hawajui kutafsiri sheria, hapo inatakiwa waifungulie kesi Yanga na Manara.