TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Mkuu dont judge a book by its cover. Yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. Ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
 
Hapo katajwa kwa cheo chake Hersi Said na sio kama private person.
Huwezi mshtaki Hersi lile tukio limefanywa na Yanga na si Hersi, Yanga ndiyo inatakiwa kuwajibika na si Hersi.
 
Tff, fungia yanga kutoingiza mashabiki wao kwa nusu msimu, ili akili zao zikae sawa, wanatumia nguvu nyingi, akili kidogo sana.
Hilo litoe akilini mwako na halitokuja kutokea kwenye soka la bongo, manake hao TFF target yao kubwa ni mapato ya Simba na Yanga.

Huoni kwanza mpaka hapo wanaigopa Yanga, hili tukio ni la club na si la Hersi,Yanga ndio inatakiwa kuwajibika kwa 100%.
 
Injinia mzima unakuwa mhuni mhuni tu huheshimu hata mamlaka. Eti MC mwalikwa, utetezi wa kihuni kabisa huu.
 
mkuu dont judge a book by its cover. yule jamaa ni zali tu kutokana na kuwa mtu wa GSM. ila kichwani mweupe sana. Zile suti na sura ya upole vimeficha mengi sana. Sawa yeye mweupe kichwani ila amekosa hata akili kidogo ya kutumia wenye akili?
Kile kitendo chake cha kumualika Manara jana nimemuona kumbe hamna mtu pale, ni hizo suti na sura ya upole tu kama unavyosema!.

Na Kitenge nae hovyo tu.
 
Tff imeanza kujitambua sasa hivi,tulidhani kuna watu wapo juu ya sheria na ni untouchable.
CAF wanaanza kikao Arusha halafu wanakutana na litimu lisumbufu kama hili.... Subiri waanze Kimataifa kuna marungu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…