TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Yes inawezekana ilikuwa haihitajiki lakini inategemea dhamira ya mtumiaji wa hiyo kauli.

Nachokusudia ni kwamba tuache unazi katika Upopoma wa Manara. Kwa mfano Kamati ya maadili ya TFF imempa adhabu Haji lakini kuna Watanzania (baadhi) wanaona jamaa kaonewa bila kujali makosa yake.

So kolabo ninayokusudia hapa ni ile ya kutambua kuwa Haji amekosea na anastahiki kuadhibiwa kama wanavyoadhibiwa wengine na kuacha ile hali ya kumbeba kwenye utovu wake wa nidhamu.

Naamini umenielewa.
Makolo ni mambumbumbu kweli ninyi . Yaani mnajifanya mmeumia na kauli na matendo ya manara kisa anayafanya haya akiwa Yanga?😂😂😂 mkae mtulie hivyohivyo mbona wenzenu yanga tulitulia ?.
 
Dada kampikie mumeo utapewa taraka ya bure,. Yaani na uzuzu wako unafikiri mpira wa bongo ni pesa tu ndo inaleta mafanikio?[emoji23][emoji23][emoji23] kuna timu inapesa kama Azam? . unaweza kuona mahovyohovyo ya manara ukaishia kumwona ni mwehu . lakini kwa taalifa yako ndo msemaji aliyechukua makombe mengi kuliko hao unaowaona wako vizuri. Wakati yuko simba manara anatangulia mkoani wiki moja kabla ya mechi . Nafikiri uliona mafanikio ya simba ya manara. Kaja yanga mwendo ni uleule hukuyaona mafanikio ya timu msimu uliopita.?
Unataka kumaanisha nn?? Hebu sema kwan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makolo ni mambumbumbu kweli ninyi . Yaani mnajifanya mmeumia na kauli na matendo ya manara kisa anayafanya haya akiwa Yanga?😂😂😂 mkae mtulie hivyohivyo mbona wenzenu yanga tulitulia ?.
Mkuu unakwama wapi!!!
Nakukumbusha Manara alipewa adhabu akiwa Simba na aliitekeleza na hatukuona upumbavu kama alioufanya yule Engineer kumualika mtu ambaye yupo jela ya mpira eti aje kuwa Mc wa shughuli ya mpira.

Mkuu nihitimishe kwa kusema kuwa hutoweza kuuona upumbavu wa Manara kama hufikirii nje ya box.Hata hapo alipokuwa Simba alikuwa anapenda kufanya upumbavu lakini angalau kidogo Viongozi wa Club walikuwa hawaoneshi udhaifu kama huu wa jangwani.
 
Unataka kumaanisha nn?? Hebu sema kwan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂 mpira wa bongo ni zaidi ya kuwa na pesa Dada . unaweza kuileta hapa real Madrid na wasichukue ubingwa wa ligi au hats kikombe chochote. Mikoani huko kuna shida sana ukienda kichwa kichwa huambui kitu. Watu kama akina manara ndo wataalamu wa fitna za mikoani . mwaka Jana simba game za away ndo zilimpotezea ubingwa.
Hata ukisikiliza ugomvi wa manara na karia siku ile pale uwanja wa mkwakwani Tanga ni kuwa . Baada ya yanga kutangulizwa na coastal union manara alitoka uwanjani akaenda "HOTELINI" yanga waliporudisha goli ndo manara akarudi uwanjani . baada ya hapo ndipo wakaanza kurushiana maneno na Karia.
 
Dada kampikie mumeo utapewa taraka ya bure,. Yaani na uzuzu wako unafikiri mpira wa bongo ni pesa tu ndo inaleta mafanikio?😂😂😂 kuna timu inapesa kama Azam? . unaweza kuona mahovyohovyo ya manara ukaishia kumwona ni mwehu . lakini kwa taalifa yako ndo msemaji aliyechukua makombe mengi kuliko hao unaowaona wako vizuri. Wakati yuko simba manara anatangulia mkoani wiki moja kabla ya mechi . Nafikiri uliona mafanikio ya simba ya manara. Kaja yanga mwendo ni uleule hukuyaona mafanikio ya timu msimu uliopita.?
Yanga ni Brand tokea miaka na miaka. Unalinganisha na Azam team ya juzi ?Haji hajaleta chochote Yanga. Sema Yanga ndo inafanya Manara aendelee kuexist. Bila Yanga Haji baada ya kufukuzwa Simba angepotea kabisa. Na yeye analijua hili ndo maana kapanic baada ya kufungiwa.
 
Yes ni kweli Manara alikuwa mpumbavu tangu yuko simba lakini kuna watu makini pale Unyamani hawakupenda Upopoma wake.

Nakukumbusha kuwa kilichotuacha watu midomo wazi ni kitendo chake cha kukaidi nyundo aliyopigwa na kamati ya maadili ya TFF na huu ndo msingi wa hoja yangu.

Pia kufanya kosa akiwa Simba na kuchekelewa haihalalishi kuchekelewa tena akiwa Jangwani.

Mkuu ukiacha mahaba niue, Haji is nothing but poisonous snake to our football.
Upo sawa kabisa. Yaani Haji alipofukuzwa Simba,bila Yanga tungeshamsahau.
 
Yanga ni Brand tokea miaka na miaka. Unalinganisha na Azam team ya juzi ?Haji hajaleta chochote Yanga. Sema Yanga ndo inafanya Manara aendelee kuexist. Bila Yanga Haji baada ya kufukuzwa Simba angepotea kabisa. Na yeye analijua hili ndo maana kapanic baada ya kufungiwa.
Kalagabaho .
 
Manara anajiharibia sana, mpira ndio uliompa madili mengine Sasa kwann ameshindwa kuheshimu kazi iliyomjengea maisha yake? Yaani anaharibu kazi kwa issue za kitoto kabisa.
 
Nimekuambia mpira wa bongo usione watu wapo uwanjani ukabaki umekenua meno . kuna mengine nje ya uwanja ambayo hayatangazwi wala kuonyeshwa ambayo hawa akina manara ndo wanahusika . unaweza usiuone mchango wa manara na ukamuona ni lopolopo but nakuhakikishia yanga huu msimu tutaipata pata.
 
Hana lolote la sivyo asingelia kwa barbara kuwa sijui anasomesha watoto n.k. Inshort Manara anazihitaji sana Yanga na Simba,zenyewe zaweza kusonga mbele bila Haji. Ila Haji hawezi.
 
Manara anajiharibia sana, mpira ndio uliompa madili mengine Sasa kwann ameshindwa kuheshimu kazi iliyomjengea maisha yake? Yaani anaharibu kazi kwa issue za kitoto kabisa.
Boya sana yule umaarufu unamponza.
 
Mwisho wa siku mtajiona hamjui. Ngoja tusubirie kama tff kuna mwenye akili kweli. Tff haina wenye weredi ndo maana rufaa ya Manara walikataa kutoa wakati ni haki yake kisheria. Tff walipofikia ndo patamu alafu ndo wataona mziki wa Yanga ukoje. Sio zama za mwendazake hizi believe or not.
 
Sijaona mwenye hoja humu zaidi ya ushabiki wa yanga na simba?? Vipi Manara kudai haki ya kukata rufaa na kunyimwa ilikuwa haki?? Mkitaka mpira wa bongo uende mbele cha kwanza tuongee kimpira na sio kishabiki
 
Hasira ya TFF ya Msomali ni kuhusina ana Kinana kuwa mgeni rasmi, uCHADEMA unawasumbua
 
Back
Top Bottom