Dada kampikie mumeo utapewa taraka ya bure,. Yaani na uzuzu wako unafikiri mpira wa bongo ni pesa tu ndo inaleta mafanikio?[emoji23][emoji23][emoji23] kuna timu inapesa kama Azam? . unaweza kuona mahovyohovyo ya manara ukaishia kumwona ni mwehu . lakini kwa taalifa yako ndo msemaji aliyechukua makombe mengi kuliko hao unaowaona wako vizuri. Wakati yuko simba manara anatangulia mkoani wiki moja kabla ya mechi . Nafikiri uliona mafanikio ya simba ya manara. Kaja yanga mwendo ni uleule hukuyaona mafanikio ya timu msimu uliopita.?