Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

We unajuaje kua ni wahamiaji haramu? Wao walikua wanapita kuelekea Kenya, habari za huko kwao zinasema hivyo, na lazima walikua wanapita na vibali halali, sasa uhamiaji haramu unatoka wapi
 
Kifo ni adhabu? Mbona kinatupata wote.
Wazungu wamefuta hio kitu. Leo unamhukumu mtu kufa kesho unakufa mwenyewe bila hukumu. Binadamu huwa tunajifariji tu.
Tungekuwa tunaishi milele vasi kifo kingekuwa adhabu. We don't know wgat happen after death.
... China, Iran, US kote huko wananyonga mzee sio wajinga wale! Adhabu ina pande mbili; muhimu zaidi ni kutoa onyo kwa waliobaki.
 
Wengi hawajui hilo wanadai eti mapenzi BIG NO kuna deal za pesa haramu ndio inawaunganisha mapenz ni geresha tu
 
We unajuaje kua ni wahamiaji haramu? Wao walikua wanapita kuelekea Kenya, habari za huko kwao zinasema hivyo, na lazima walikua wanapita na vibali halali, sasa uhamiaji haramu unatoka wapi
Kumbe wewe ni pumbavu mkubwa, hujapata Habari kuwa walikua na more than 3passports each na hazina immigrations stamps za nchi yeyote, pls uwe unapata as much as informations kuhusiana na mada husika kabla ya kuchangia
 
Naona Tanzania tume roll over kama malaya, na kumrudisha illegal immigrant Dr.Nandipa, mbona hatufanyi hivi kwa illegals wengine kutoka somalia or Ethiopia?huwa tunawapeleka kwa court of law
 
Naona Tanzania tume roll over kama malaya, na kumrudisha illegal immigrant Dr.Nandipa, mbona hatufanyi hivi kwa illegals wengine kutoka somalia or Ethiopia?huwa tunawapeleka kwa court of law

Kule kwao tayari ni fugitive. lazima uelewe sheria za kimataifa kwanza. Walitoroka so wataongezewa na makosa mengine juu hivyo ku prolong vifungo vyao
 
Kule kwao tayari ni fugitive. lazima uelewe sheria za kimataifa kwanza. Walitoroka so wataongezewa na makosa mengine juu hivyo ku prolong vifungo vyao
No mkuu fugitive ni Mr.Bester tu,Dr.Nandipa hana docket kule na hii ni fact, na inaposema international law una maana gani?,Malawi hadi leo haijamrudisha fugitives na tapering Bushiri na mke wake, wanafuata sheria zao na amini kipindi kile nchi Ina heshima Dr. Nandipa asingerudishwa SA, sio fugitive huyu
 
Hivi unaelewa maana ya International Police we zombi?

International Police (Interpol) ni mtandao wa police kimataifa, kwa maana ya kwamba Interpol imeundwa na nchi wananchama walioridhia kuwa katika umoja huo, sisi Tz tukiwa wamoja wao.

Hivyo unavyosikia Interpol usidanganywe na movie za Hollywood eti Interpol ni wamarekani tu ndo huwa wanatoka US wanaenda Cambodia, wanaenda South Africa, wanakuja Somalia, wanaenda Urusi kukamata wahalifu, never! Zombi wewe!

Nchi zote wanachama wa Interpol zina haki sawa ya kuchangia nguvukazi katika umoja na kwa hapa kwetu Tz unaposikia Interpol wa Tanzania elewa ni hawa hawa askari police wa Tz unaowaona ila wao wamewekwa kitengo cha Interpol kipo pale jengo la police Mkoa Wa Dodoma pembeni ya makao makuu ya Police Tz. Hawa askari wao wanashughulikia masuala yote ya uhalifu unaovuka mipaka ya nchi kwa kushirikiana na Interpol wa mataifa mengine, usifikiri Interpol ni wazungu tu mshamba ww

CC: kina kirefu , Bia Ya Moto
 
Hilo jamaa ni zombi, likisikia interpol sijui linajua ni wazungu kutoka marekani, halijui nchi zote wanachama wa interpol zinatumia hao hao local police wake kufanya kazi za interpol kwa maana ya kwamba wapo katika kitengo cha police wa kimataifa na wanafanya kazi kwa kushirikiana na interpol wa nchi nyingine
 
Zombi mume wako, maku wewe.
 
We mshamba elewa dhana ya Interpol usituletee mambo ya movies zako za Hollywood hapa

Hakuna interpol wa hapa Tz anayepiga doria., mshamba wewe. Hivi unaelewa kwanza maana ya interpol we zombi?

Nikutaarifu tu we mwanamama, jeshi la police Tz askari waliopo kitengo cha interpol hawazidi 50, nao ni kama tu coordinators na Interpol wa nchi nyingine.

Ishu huwa hivi, mfano gaidi katoroka Misri, na Misri ni mwanachama wa Interpol, watashea taarifa Interpol dunia, hivyo taarifa hizo zitapokewa na kila nchi mwanachama wa Interpol, na kwa hapa kwetu Tz taarifa hizo pia zitapokewa makao makuu ya police na askari police hawa hawa unaowajua lakini waliopo kitengo cha Interpol (Fahamu kwa hapa kwetu hicho ni kitengo tu kama vitengo vingne ndani ya police).

Wakishapokea taarifa hizo hicho kitengo cha Interpol kitashea taarifa hizo na makao ambao watatoa maelekezo kwa kamandi zote kumhusu mhalifu na kazi itafanywa na local police. Mhalifu akikamatwa atakabidhiwa kwa kitengo cha Interpol kuendelea na taratibu zingine ambapo watawasiliana na interpol wenzao wa misri kuona namna ya kumkabidhi jambazi mwenzako. Hapo hakuna mzungu aliyekuja Tz kukamata, hakuna mama wala baba yako mnayeangalia nae movie za Hollywood aliyekuja na mabunduki
 
Dah, we jamaa maandazi kweli. Sasa unayemsimulia hayo ambaye hajui ni nani? Tatizo mnasoma juu juu bila kuelewa kina cha hoja.
Hebu onyesha niliposema askari wa Interpol ndiyo walioenda kuwakamata hao jamaa?
Inawazekana ukawa na matatizo ya kiakili, lakini acha niende na wewe hivyohivyo, maana hii ni sehemu huru ya watu kuweka wazi mawazo yao na wewe umetuonyesha kilichoyajaza mawazo yako ni hicho umekiandika.
Halafu wanaume timamu huwa hawawi na tabia ya kuongea wakitukana kama wewe, hizi ni tabia za Mashoga. Wanaume siku zote ni watulivu na huongea bila hisia za kuhemushwa. Kwa hilo nakupa pole sana. Unahitaji therapist
 
Kumbe wewe ni pumbavu mkubwa, hujapata Habari kuwa walikua na more than 3passports each na hazina immigrations stamps za nchi yeyote, pls uwe unapata as much as informations kuhusiana na mada husika kabla ya kuchangia
We fala, nyaanoko, kwa maoni yako ya kipumbavu uliyokua ukisema yameishia wapi? Mbona mpaka sasa wahalifu wako kwao, mwanamke yuko lumande, mtuhumiwa yuko gerezani, na G4S kama kampuni ya ulinzi wa gereza alilotoroka wanajibu kwa nn mtuhumiwa aliondoka kwao, shenzi we unajifanya unajua kila kitu na hauna lolote, mshamba mkubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii inanikumbusha mapenzi ya bonnie &clyde majambazi waliokua wapenzi na wakapendana sana miaka mingi huko Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…