Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Mkuu Ile maiti iligundulika haijafariki kwa ajali ya moto Bali ni kupigwa na kitu kizito, Sasa maiti iliyopigwa na kitu kizito wamenunua wapi?
Good question mkuu, naona tumekubaliana kuwa iliyoingizwa mle ni maiti, sio mtu hai then akachomwa moto na kuuliwa mle, elewa SA ni moja ya nchi hapa duniani zenye mauaji mengi na ya kutisha, kupata maiti sio big issue hapo SA, huyu binadamu anaweza alikua ameuliwa kule kwa township kwa kupigwa hivyo na maiti yake ikatumika au walikwenda mortuary na kununua maiti ili kufanikisha mpango wao, inawezekana hii maiti ni ya foreigner, means kutakua hakuna madai kutoka kwa SA family, na kuna sitofahamu kuwa Dr.Nandipa aliiomba maiti hii aizike yeye!,Tanzania we need to have a DNA forensics lab as sooner as possible, iwe chini ya jeshi letu la police, hii ya mkemia mkuu kwangu ni utapeli fulani
 
Fair enough mkuu,kwa hili let's disagree, ndio raha ya mjadala hatuwezi kukubaliana kwa kila kitu, death sentence kwangu its a NO
Sawa, kwahiyo wewe mtu akimuua mama yako au Baba yako, unaona adhabu ya kifungo cha maisha ni sawa sio?
Haya mnaropoka kwakuwa hayajawakuta kwenye familia zenu.
 
point of addition: Magereza ya SA yanalindwa na kampuni binafsi za ulinzi ( for this case G4S) . Ndio maana kuna outcry ya kuzuia privatisation ya kila kitu mpaka magereza huko SA.
Mmmmmm hili nalo tuliweke Sawa,always facts iwepo ili mjadala utawaliwe na ukweli, sio kweli kuwa magereza ya SA yanalindwa na kampuni hii au nyingine, G4S ni Britain based security company, wao wameingia mkataba wa KUJENGA hizi Maximum prison na serikali ya SA, then wanaziendesha kwa muda fulani baadaye watazikadhi kwa serikali, na SA mpaka sasa wanazo mbili tu, zingine zote zipo chini ya correctional service ya nchi, hakuna privatization hapo
 
Sawa, kwahiyo wewe mtu akimuua mama yako au Baba yako, unaona adhabu ya kifungo cha maisha ni sawa sio?
Haya mnaropoka kwakuwa hayajawakuta kwenye familia zenu.
Mkuu jadili hoja sio kumjadili Nkanini, na tuna haki ya kutofautiana,our former PM Mr.Pinda naye hapendi death sentence na amelisema hili public,ni msimamo wake, nami death sentence it's a NO ndio msimamo wangu, nami ninayajua matusi but usinifanye nikutukane
 
Good question mkuu, naona tumekubaliana kuwa iliyoingizwa mle ni maiti, sio mtu hai then akachomwa moto na kuuliwa mle, elewa SA ni moja ya nchi hapa duniani zenye mauaji mengi na ya kutisha, kupata maiti sio big issue hapo SA, huyu binadamu anaweza alikua ameuliwa kule kwa township kwa kupigwa hivyo na maiti yake ikatumika au walikwenda mortuary na kununua maiti ili kufanikisha mpango wao, inawezekana hii maiti ni ya foreigner, means kutakua hakuna madai kutoka kwa SA family, na kuna sitofahamu kuwa Dr.Nandipa aliiomba maiti hii aizike yeye!,Tanzania we need to have a DNA forensics lab as sooner as possible, iwe chini ya jeshi letu la police, hii ya mkemia mkuu kwangu ni utapeli fulani
Akachomwa moto na kuuliwa? Imeingia maiti, Sasa maiti inauliwa vipi?
 
Akachomwa moto na kuuliwa? Imeingia maiti, Sasa maiti inauliwa vipi?
Always try to read to understood, hiyo ni typing error, UJUMBE ni kuwa ni MAITI iliyochomwa mle SIO MTU HAI ,naona kwa kukurahisishia hivi umelelewa, na pia ungefuatilia mjadala huu na kujisomea kwingineko kuhusu issue hii,usingekuja na swali hili hapa, maana imeshathibitishwa kuwa ilikuwa MAITI ndio iliyochomwa mle Gerezani, looo middle class wa nchi hii ni shida tupu
 
Acha kushupaza shingo Mkuu,hakuna pahala popote pasipo na mafanikio bila failure.

Siyo kila Askari wa PT ni Interpol ndiyo inaeleweka hivyo,Interpol ni Kitengo kilichopo Kamisheni ya Utawala na Mafunzo ndani ya PT sasa kama Interpol wamefanikisha kuwakamata watuhumiwa kongole haziwahusu PT?

Sasa mbona ulileta nongwa nilipowataja interpol? Tena afadhali hata ya mimi niliweka ushiriki wa askari wetu.

Hayo ya 'si kila askari ni interpol' ndiyo mnazidi kufunga as we go, wakat at first mlikuja na blanketed statements. Sasa umefanikiwa kufika nilipokua nimesimamia tangu awali baada ya kukubali kusogea nilipo ingawa unakuja kishingo upande huku malalamiko mengi.
Hicho ni kisebengo tu, nitakuacha uishi nacho. Siku nyingine usije na kauli za jumlajumla.
 
Always try to read to understood, hiyo ni typing error, UJUMBE ni kuwa ni MAITI iliyochomwa mle SIO MTU HAI ,naona kwa kukurahisishia hivi umelelewa, na pia ungefuatilia mjadala huu na kujisomea kwingineko kuhusu issue hii,usingekuja na swali hili hapa, maana imeshathibitishwa kuwa ilikuwa MAITI ndio iliyochomwa mle Gerezani, looo middle class wa nchi hii ni shida tupu
Unaelewa maana ya typing error? Ulichofanya wewe sio typing error kiazi wewe
 
Hii ni mbaya sana yaani unaratibu mauji ya mtu asiye na Hatia Kwa kuchoma gereza Ili tuu wewe utoroke gerezani.

Kuna mashaka sana na security appatus za Afrika Kusini.

Reference: Thabo Bester and Spouse Dr Nandipha Magadugula.

=======
Tanzania Police have confirmed the arrest of South African prison escapee Thabo Bester and his accomplice Dr. Nandipa Magudumana and one other person by the name of Zakaria Alberto.

In a short statement released by the Police Spokesperson David A Misime, Tanzania Police said they are finalizing, “other international and national procedures” for the case.

Thabo Bester, a serial rapist, scammer, and murderer was confirmed to have escaped Mangaung Prison in South Africa in March 2023 after a viral Twitter picture that showed him shopping. It was later learned that Bester had escaped prison in May 2022 in a ploy that involved fake suicide.

Prison cell where Bester was kept had caught fire only for his corpse to be found burnt beyond recognition. Bester was pronounced dead, only for the news to resurface on social media that he was living large with South African celebrity Doctor, Nandipa Magundumana.

Reports show it was a complex scheme that involved Dr Nandipa Magundumana who collected the burnt corpse from prison, claiming she was the wife of Thabo Bester.

Confirming the arrest of Thabo Bester, South Africa Minister of Justice and Correctional Services Ronald Lamola, says he is expecting to be in Tanzania on Sunday, April 09, 2023, to follow up on the case.

“We have confirmed with all relevant authorities in Tanzania which include the national Police in Tanzania and Interpol that fugitives have been processed in the Tanzania criminal justice system,” said Lamola in a press statement.
Walichukua maiti mortuary na kupelekwa Magereza kuchomwa ionekane kajiua
 
Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?
Usifikiri kila askari unayemuona ukadhani ana access na interpol files
Swali! Je Police wa Tanzania Wana Jalada la huyo Muhalifu wa South!!?? Naamini hata Kama police wa Tz wamemkamata Muhalifu Arusha,lazima itakua ni team work Kati ya South African police na Police Tanzania,na unaweza kuta hadi Mozambique police nao wamesheriki hata kwa kutoa infor za hao wahalifu direction yao to Tanzania!!!
 
Hiyo ni kazi ya Interpol, ndiyo wanaotoa descriptions na ndiyo wanao ongoza msako lakini arresting hufanywa na askari wa nchi husika (aliyokamatiwa) hata taarifa hutolewa na nchi ambapo mharifu amekamatiwa.
Wakati mwingine inaweza isiwe interpol lakini ikawa ni joint mission
Sawa. Ila pongezi kwa Polisi Tanzania. Kapita nchi nyingine zenye Interpol.🙏🙏🙏
 
Swali! Je Police wa Tanzania Wana Jalada la huyo Muhalifu wa South!!?? Naamini hata Kama police wa Tz wamemkamata Muhalifu Arusha,lazima itakua ni team work Kati ya South African police na Police Tanzania,na unaweza kuta hadi Mozambique police nao wamesheriki hata kwa kutoa infor za hao wahalifu direction yao to Tanzania!!!
Hawataki likae hivyo.
 
Hii taarifa yako ina ukakasi sana, kwa maana huyo jamaa amekaa Tz siku chache sana, huo muda wa hao wapelelezi kuja hapa kama watalii waliufanya muda gani. Angalia siku waliyoingia Tz na jinsi walivyokamatwa. Hata wiki 2 hazijafika, na ukumbuke walitoroka hapo SA.
Tafuta report ya DPP wa south Africa kaeleza mchezo wote ulivokua yan movie kabisa
 
Kwa hiyo Interpol ndiyo waliompiga risasi Acquilina? Interpol mdiyo walimkamata mama Samia kipindi kile akiwa naibu Waziri? Interpol ndiyo wanaobambikia kesi watu? Interpol ndiyo wanakamatia hizi rushwa za barabarani?
Usifikiri kila askari unayemuona ukadhani ana access na interpol files
Alikamatwa akiwa naibu Waziri kwa kosa gani?
 
T
Alikamatwa akiwa naibu Waziri kwa kosa gani?
Taa moja ya gari haikuwa inawaka, interpol wakamng'ang'ania, akajitetea kuwa taa imeharibika tu maana alikua hajagundua mpaka walipomsimamisha, akaomba wamruhusu aende maana ilikua ni usiku sana na alikua akitoka harusini. Jamaa wakagoma, wakamtishatisha, baadaye , wakaamua kumpeleka Kituoni, maana aligoma kusomeka. Kufika Kituoni ndiyo mkuu wake anastuka na kumshtua yule kamaa kuhusu aliyemkamata, jamaa akatokomea, yule mkuu akaomba msamaha na kuagiza askari wamrudishe hadi nyumbani
 
1) Ni nchi ngapi alipita kabla ya kufika Tanzania?
2) Je huko alipopita Interpol walikuwa wamelala na kuamka pindi tu alipofika Tanzania?
3) Kwanini interpol hawakufanikisha kukamatwa kwake pindi alipovuka boda kuingia Zimbawe, Zambia na kwengine alipopita?

Nafikiri ifike wakati tukubali tu kwamba askari wetu kwa namna fulani wako vizuri. Ndio maana hata chama cha upinzani Afrika Kusini EFF na nchi nyingi duniani zilitupongeza.
Haya maswali sidhani kama yatapata majibu yanayoeleweka kutoka kwa uliemuuliza.
 
Back
Top Bottom