Thailand Idadi ya vijana wa kiume inapungua wengi wanakuwa transgender

Kule sio pa kuparamia watu hvy unaezani ndie kumbe sie
 
Nchi za Thailand na cambodia asilimia 70 ya wanaume wamefanyiwa operation ya kubadili jinsia zao kuna siku niliongea na bwana mmoja aloyewahi zungukia huko alisema mwanyeji wake alimpitisha sehem tofauti na kuangalia vijana wa kiume waliobadili jinsia kwa kweli hali ina tisha sana sijui tunakokwenda
 
Mwenyezi Mungu tuhurumie
 
Shemales, trannies, ladyboys, trans gender wote wanafaha kwa kutumiwa kwenye sex tourism...... Tungetumia TZ tungepata sana fedha za kigeni
 
Shemales, trannies, ladyboys, trans gender wote wanafaha kwa kutumiwa kwenye sex tourism...... Tungetumia TZ tungepata sana fedha za kigeni
Si mmenunua Dreamliner ya kuleta watalii, subirini mziki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…