Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

OKW BOBAN SUNZU Scars GENTAMYCIME njoo huku
 
Hujaelewa, je Man city Atakubali kutolewa champions league ili akashiriki Europa?

Je Man city Akishinda Europa atajitapa?
Kwani kuna timu inaingia uwanjani ili ikatolewe? Hakuna hiko kitu, bali mpira ndivyo ilivyo hao Man city wameshatolewa sana champions league. Europa league na champions league zote ni makombe ya kimataifa ya barani ulaya, hivyo hakuna timu ambayo itachukua hilo kombe na kisha asiache kulishangilia. Mpira ni makombe, domestic cups tu zao tu wanashangilia sembuse kombe la kimataifa?
 
SIMBA LIGI YA MABINGWA CAFCL AMEPATA BILIONI 1.5
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TANO.

SUPER LEAGUE BILIONI 4 ZA MAANDALIZI.


YANGA MBAKA SASA ANA MILIONI 800 TU
 
Hamjawahi cheza Confederation ?
 
Hakuna walicho izidi simba maana kombe walio kuwa wanashiriki wote Yanga alitolewa mapema sana kabla ya Simba.

Mashindano aliyo kuwa anashiriki Simba na anayo shiriki Yanga kwa sasa ni tofauti na yana hadhi ya tofauti na mashindano anayo shiriki Yanga kwa sasa yana hadhi ya chini.
 
Yanga kushiriki Confederation baada ya kutolewa Championship inathibitisha maneno ya msemaji wao kua lile ni Kombe la Losers
 
Monetary value, mtateseka sana sana sana.
Hela ya kuingia robo fainali klabu bingwa Ni nyingi kuliko aliyebeba ubingwa wa shirikisho.

Hili Ni jukwaa la michezo.Na haha ulikuwa huyajui.

Ingekua huteseki ZAIDI na ZAIDI na kuumia ungepiga TU kimya.

Kitendo Cha kukomenti hivyo maana yake unateseka mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…