Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AahhaaaaaaaaKifupi atakayechukua kombe la CAF confederation cup atakuwa kazidi aliyeishia robo fainali CAF champions league kwa kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahhaaaaaaaaKifupi atakayechukua kombe la CAF confederation cup atakuwa kazidi aliyeishia robo fainali CAF champions league kwa kila kitu
OKW BOBAN SUNZU Scars GENTAMYCIME njoo hukuWana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.
Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.
Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.
Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.
Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
Ambako wewe palikushiindaYanga na Simba zote zilikua Championship hapo mwanzoni, Yanga vikamshinda akahamishiwa Confederation.
AahaaaaaaaNaomba niwakumbushe ndugu zangu Yanga imeingia nusu fainali
Haya mjadala uendelee
Kolo FC mna makasiriko sana😁Walitolewa toka mwaka jana,kule hawawezagi hao utopolo
Umetumia silaha kubwa kumuua mkuu,😁Wamesogea kwenda wapi?
Kwani hawakushiriki CL, kwanini hawakuingia makundi?
AahaaaaaUmetumia silaha kubwa kumuua mkuu,😁
Kwani kuna timu inaingia uwanjani ili ikatolewe? Hakuna hiko kitu, bali mpira ndivyo ilivyo hao Man city wameshatolewa sana champions league. Europa league na champions league zote ni makombe ya kimataifa ya barani ulaya, hivyo hakuna timu ambayo itachukua hilo kombe na kisha asiache kulishangilia. Mpira ni makombe, domestic cups tu zao tu wanashangilia sembuse kombe la kimataifa?Hujaelewa, je Man city Atakubali kutolewa champions league ili akashiriki Europa?
Je Man city Akishinda Europa atajitapa?
Nani kukuuliza mbona inajipa kazi zisizo kuhusuNaweka kumbu kumbu sawa tu Mkuu,
Kuna watu hawaelewi hata thamani ya kila level ni ipi wanaishia kubishana tu
Hamjawahi cheza Confederation ?Uko sahihi,
Lakini na Ugumu wa Michuano nao unachangia Mkuu.
Jaribu kufikiri Leo angekua ndio Yanga anacheza na Bingwa Mtetezi Wydad Casablanca angemtoa kirahisi kama alivyomtoa Rivers?
Labda next year tujitoleshe Championship ili tuangukie Confederation tujaribu bahati yetu huko. Sababu huko timu zake sio ngumu sana kama za Championship.
Hio ligi ya Mabingwa mnashiriki?Usifananishe LIGI YA MABINGWA na upuuzi.....
KAA CHINI,HUNA AKILI
Huku ndio mmejifichaSIMBA LIGI YA MABINGWA CAFCL AMEPATA BILIONI 1.5
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TANO.
SUPER LEAGUE BILIONI 4 ZA MAANDALIZI.
YANGA MBAKA SASA ANA MILIONI 800 TU
Wakati tunacheza confederation wewe ulikuwa wapi?Hamjawahi cheza Confederation ?
Ndio uhalisia.....Huku ndio mmejificha
Wanashiriki ndotoniHio ligi ya Mabingwa mnashiriki?
Hakuna walicho izidi simba maana kombe walio kuwa wanashiriki wote Yanga alitolewa mapema sana kabla ya Simba.Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.
Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.
Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.
Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.
Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
Yanga kushiriki Confederation baada ya kutolewa Championship inathibitisha maneno ya msemaji wao kua lile ni Kombe la LosersHakuna walicho izidi simba maana kombe walio kuwa wanashiriki wote Yanga alitolewa mapema sana kabla ya Simba.
Mashindano aliyo kuwa anashiriki Simba na anayo shiriki Yanga kwa sasa ni tofauti na yana hadhi ya tofauti na mashindano anayo shiriki Yanga kwa sasa yana hadhi ya chini.
Hela ya kuingia robo fainali klabu bingwa Ni nyingi kuliko aliyebeba ubingwa wa shirikisho.Monetary value, mtateseka sana sana sana.