Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

Kimataifa
Yanga kafanikiwa kuliko Simba msimu huu
Hakuna kitu kama hicho kwasababu walikuwa wanashiriki mashindano tofauti na yenye hadhi tofauti.
Na bora yanga wangeenda moja kwa moja shirikisho tangu mwanzo ningekuelewa lakini kitendo cha kutolewa kilabu bingwa na kutupwa shirikisho kinaonesha kuwa bado yanya haina ubora kama watu wanavyo tuaminisha?
 
Shirikisho Simba tumezidiwa na Yanga.
Makombe ni ufahari, kwenye kabati watu wamaangalia makombe
Wakiuliza makombe ya kimataifa haijalishi lipi
Kwahiyo yanga analo kombe tayari?
Tungejudge kama Zote simba na Yanga zingekuwa zimeshiriki Shirikisho msimu husika.
Lakini iweje tusitumie kigezo cha Club Bingwa ambacho wote wameshiriki na Mwingine kuondolewa.
Lakini yule aliyoondolewa anaonekana bora kuliko aliyekaza.
Kiliwakuta nini yanga mpaka wakafika Shirikisho.
 
Kwa macho nimeshuhudia wakipoteza muda,
Mkuu naona unaiongelea Wydad utadhani ni polisi Tz.
Kwenye uwanja wa taifa hilo la kupoteza muda sikuliona labda ww una macho tofauti na watu wote walio angalia mpila pale, ningekuelewa iwapo ungesema washambuliaji walikosa baadhi ya nafasi za wazi.
Kuhusu huko Morocco Wydad ni timu kubwa kimbinu sio ya kwenda kucheza nayo kama vile unavyo cheza na polisi ni razima uhieshimu.

Kabla ya kuilaumu Simba kukosa goli huko Morocco mbona hujajiuliza kuwa mbona Wydad pamoja na ukubwa wao walishindwa kupata goli kwa Mkapa hali ya kuwa mechi ilikuwa open sana kwao kuliko hata ilivyo kuwa open kwa simba huko Morocco?

Hiyo mbinu unayo sema sijui kupushi kutafuta goli ugenini tulisha wahi kuitumia huko Congo dhidi ya Mazembe tukaambulia kipigo cha mbwa koko cha 4 kwa 1.
Hiyo mbinu uliyo taka itumike Morocco ndo hiyo hiyo ambayo ilitumika tulipo enda S.Afrika dhidi ya Kaiza chefu tukakumbana na kipigo cha mbwa mwizi .

Hiyo mbinu uliyo taka itumike Morocco ndo hiyo hiyo ambayo tuliitumia dhidi ya Al ahaly huko Misri na kwa Vita huko Congo kukakumbana na maafa ya kugongwa bao tano kila mechi.
 
Kwahio Simba anashiriki champions League ipi?
 
Sasa wewe mbwiga Azam CAFC ina shilling ngapi? kwanini mna komaa nayo?
 
Hawana akili hawa mbumbumbu
 
Cha msingi mmetoka hayo mengine ni ngonjera
 
Kwahio Simba anashiriki champions League ipi?
Simba imetolewa robo fainal ya champion league na yanga imeshatolewa kitambo Champion league sasa unailinganishaje simba na yanga kwa kigezo cha kombe la shirikisho hali ya kuwa Simba hakushiriki kwenye hilo kombe?

Simba na yanga wanatakiwa walinganishwe kwa kigezo champion league kwa sababu ndo kombe ambalo walishiriki wote.
 
sawa, umeeleweka mshindi.!
 

Attachments

  • IMG_20230429_200918.jpg
    7.1 KB · Views: 2
kifupi wote wametoka tu kama Nyasa bullet's, Zalan, Vipers , Raja
 
Vs ya nini nmekuuliza last season umecheza kombe lipi uliishia wapi
Unatumia Simba ya Last season kufananisha na Yanga ya mwaka huu?
Kwanini usizungumzie Simba ya mwaka huu?
Mafanikio huenda kwa msimu husika, if ni ya mwaka jana, kwa team zote yatumike matokeo ya mwaka Jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…