ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Hakuna kitu kama hicho kwasababu walikuwa wanashiriki mashindano tofauti na yenye hadhi tofauti.Kimataifa
Yanga kafanikiwa kuliko Simba msimu huu
Na bora yanga wangeenda moja kwa moja shirikisho tangu mwanzo ningekuelewa lakini kitendo cha kutolewa kilabu bingwa na kutupwa shirikisho kinaonesha kuwa bado yanya haina ubora kama watu wanavyo tuaminisha?