- Thread starter
- #81
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
3rd in group CL anakula pesa ndefu kuliko Semi finalist wa CC????
mmmmhhhhhh...............
3rd group stage wa championship analamba $550k
Semi finalists wa Mbuzi Cup analamba $450k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
3rd in group CL anakula pesa ndefu kuliko Semi finalist wa CC????
mmmmhhhhhh...............
Kwa hiyo ligi kuu ni sawa na ligi daraja la kwanza? Kweli ww ni utopolo.Hivi mnavyosema kombe la shirikisho lina hadhi ya chini mnajifyetua akili au..
Maana bigwa wa ushirikisho atakutana na bigwa wa champion then mshindi ndio anahesabika bigwa wa africa sasa hapo inakuwaje hii..
Swadaktaaa,Akuna anaye yadharau ila ni kuweka sawa mambo.
Huwezi sema Yanga ni bora zaidi ya Simba hali ya kuwa wote walikuwa kwenye mashindano ya aina moja na yanga ikatolewa mapema kabla ya simba.
Simba na yanga walikuwa wanashiriki mashindano mawili tofauti ,Simba alikuwa anashiriki mashindano ya kiwango cha juu kuliko yote barani Afrika hali ya kuwa yanga ilikuwa inashiriki mashindano ya kiwango cha chini hivyo ni uzezeta kuwalinganisha.
Tungeweza kuzishindanisha iwapo wote wangakuwa wanashiriki mashindano ya aina moja.
Hayo ni yajayo ambayo hatuyajui,Nina uhakika ata ikitokea yanga akaleta hili kombe la shirikisho bado mashabiki wa simba wataamini wao wamenufaika sana kwa kuishia robo final kwenye championship
Je tulipokuwa kwenye shirikisho kilichosababisha tusifike Nusu ni kipi, maana msimu ulopita tulikuwa Shirikisho.Uko sahihi,
Lakini na Ugumu wa Michuano nao unachangia Mkuu.
Jaribu kufikiri Leo angekua ndio Yanga anacheza na Bingwa Mtetezi Wydad Casablanca angemtoa kirahisi kama alivyomtoa Rivers?
Labda next year tujitoleshe Championship ili tuangukie Confederation tujaribu bahati yetu huko. Sababu huko timu zake sio ngumu sana kama za Championship.
Shirikisho Simba tumezidiwa na Yanga.Wamesogea kwenda wapi?
Kwani hawakushiriki CL, kwanini hawakuingia makundi?
Mwajuma elewa kuwa Man City anawinda apate kombe lolote la kimataifa haijalishi ni Europa, Eufa, ConferenceHujaelewa, je Man city Atakubali kutolewa champions league ili akashiriki Europa?
Je Man city Akishinda Europa atajitapa?
Tuachana na maswala ya kipumbavu kushabikia ujinga wakati wenzetu wamesonga mbele, kitu ambacho hata mwekezaji atapata mapato kupitia kuuza jezi
Kwamba wakihesabu medali watahesabu na pesa?SIMBA LIGI YA MABINGWA CAFCL AMEPATA BILIONI 1.5
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TANO.
SUPER LEAGUE BILIONI 4 ZA MAANDALIZI.
YANGA MBAKA SASA ANA MILIONI 800 TU
KimataifaHakuna walicho izidi simba maana kombe walio kuwa wanashiriki wote Yanga alitolewa mapema sana kabla ya Simba.
Mashindano aliyo kuwa anashiriki Simba na anayo shiriki Yanga kwa sasa ni tofauti na yana hadhi ya tofauti na mashindano anayo shiriki Yanga kwa sasa yana hadhi ya chini.
Timu haihamwiHama timu uende huko utakapopata furaha, tuachie Simba yetu.
Sii hatuchezi makombe ya mbuzi
Kwa macho nimeshuhudia wakipoteza muda,Usilaumu wachezaji pale ndio uwezo wao ulipoishia.
Simba kama inataka kufika mbali zaidi kwa mashindano ya kimataifa basi usajili wa maana unahitajika.
Huwezi ukashabikiaTuachana na maswala ya kipumbavu kushabikia ujinga wakati wenzetu wamesonga mbele, kitu ambacho hata mwekezaji atapata mapato kupitia kuuza jezi
Msimu huyu yes,Kimataifa
Yanga kafanikiwa kuliko Simba msimu huu
Huwezi kukosa Cha kushangilia. Kuna level ukifika kukosa kombe sio ajabu sanaTuachana na maswala ya kipumbavu kushabikia ujinga wakati wenzetu wamesonga mbele, kitu ambacho hata mwekezaji atapata mapato kupitia kuuza jezi