DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimetoka kapa licha ya kusoma mara mbili mbili. Kwa hiyo thamani ya nyumba yangu iko kwenye akili yangu na siyo kwenye gharama niliyotumia?Katika MAISHA
thamani ya kitu inatengenezwa katika Akili ya MTU , Hivyo kabla ujamfanyia MTU Jambo lolote hakikisha analipa thamani katika Akili Yake .
Mfano Kuna watu wanahitaji tu MUDA wako na sio Jambo lolote ila pia Kuna wengine wanahitaji pesa zako hivyo inahitaji utulivu wa kifikra kujua hipi Sehemu sahihi ya kuwapa Thamani watu kupitia wewe.
Kuna watu utatumia PESA Ila utawakosa na Kuna watu kupitia PESA utawapata Ila thamani itajengeka katika Akili ya MTU .
Hivyo vitu unavyodharau na kuona havina maana ndo hivyo vimesababisha wengine wauane ,wasalitiane na kuwa maadui wakubwa.
Ishi kwa kuelewa thamani ya kitu au MTU hipo Katika Akili ya MTU na sio WATU.
π πNimetoka kapa licha ya kusoma mara mbili mbili. Kwa hiyo thamani ya nyumba yangu iko kwenye akili yangu na siyo kwenye gharama niliyotumia?
Swali: akili inatumia vigezo gani kupata thamani ya kitu bila kutumia gharama na muda wa kukipata hicho kitu?
Robert Heriel Mtibeli anaweza fafanua hii thread vizuriNimetoka kapa licha ya kusoma mara mbili mbili. Kwa hiyo thamani ya nyumba yangu iko kwenye akili yangu na siyo kwenye gharama niliyotumia?
Swali: akili inatumia vigezo gani kupata thamani ya kitu bila kutumia gharama na muda wa kukipata hicho kitu?
Robert Heriel Mtibeli anaweza fafanua hii thread vizuri
Nimetoka kapa licha ya kusoma mara mbili mbili. Kwa hiyo thamani ya nyumba yangu iko kwenye akili yangu na siyo kwenye gharama niliyotumia?
Swali: akili inatumia vigezo gani kupata thamani ya kitu bila kutumia gharama na muda wa kukipata hicho kitu?
Huenda unachanganya vitu viwili tofauti: Umuhimu na Thamani. Kwa mfano: Hewa ni muhimu lakini haina thamani.Akili yako/yangu ndio inayoipa thamani nyumba yako.
Wakati wewe unaiona nyumba au Gari Fulani labda ni V8 ni la thamani lakini kuna wengine hiyo V8 sio chochote kwao.
Akili ndio huvipa vitu matumizi ili viwe na thamani.
Wakati Dhahabu NI jiwe kama nawe mengine lakini Akili imeipa Dhahabu matumizi ya anasa na hiyo kuifanya kuwa na thamani.
Akili ndio hutoa vipaombele vya mambo na vitu.
Hata hivyo kuna vitu ambavyo ni lazima ili Akili iweze kuishi. Vitu hivyo Akili huvipa thamani zaidi. Mfano Maji, chakula, hewa, vitu hivyo vinaisaidia Akili kuishi ndio maana MTU atafanya chochote kwaajili ya vitu hivyo na vingine ambavyo sijavitaja
Huenda unachanganya vitu viwili tofauti: Umuhimu na Thamani. Kwa mfano: Hewa ni muhimu lakini haina thamani.
Wachumi wanasema thamani ya kitu inaamuliwa na nguvu ya usambazaji na uhitaji
Je, kuna sehemu yoyote dunianiani kuna shida ya upatikanaji wa hewa hadi uhitaji uzidi usambazaji?
Akili inayotoa thamani ya kitu bila kutumia kanuni za uchumi ni ya kijima
Huenda unachanganya vitu viwili tofauti: Umuhimu na Thamani. Kwa mfano: Hewa ni muhimu lakini haina thamani.
Wachumi wanasema thamani ya kitu inaamuliwa na nguvu ya usambazaji na uhitaji
Je, kuna sehemu yoyote dunianiani kuna shida ya upatikanaji wa hewa hadi uhitaji uzidi usambazaji?
Akili inayotoa thamani ya kitu bila kutumia kanuni za uchumi ni ya kijima
Wewe hapo ulipo umewekewa mitungi mingapi ya hewa? Na kila mtungi umeulipia kiasi gani?ππ
Embu acha masikhara Mkuu. Hewa haina thamani?
Nenda hospitalini kaulize wale wagonjwa wanaolazwa hospitalini na kuwekewa mifumo ya hewa ni shilingi ngapi?
Au kauulize ule mtungi WA hewa ya oksijeni ni bei gani.
Kitu chochote kinachoisaidia Akili kuishi kinathamani kubwa Sana.
Akili inaipa vitu thamani lakini vile vinavyoifanya Akili iishi navyo vinathamani zaidi
Wewe hapo ulipo umewekewa mitungi mingapi ya hewa? Na kila mtungi umeulipia kiasi gani?
Angalizo: Gesi (siyo hewa i.e air) wanayopewa wagonjwa wenye changamoto ya kupumua inakuwa ya thamani kwa sababu ya uchakataji wake kuwa wa gharama, halafu mahitaji kuwa kidogo, hivyo kupelekea kuuzwa kwa bei kubwa.
Lakini hii hewa ya Mungu tunayovuta mimi na wewe haina thamani. Ni buuree
Kwa maelezo yako hapo juu, ni ukweli ulio wazi kwamba akili inatumika kuongezea thamani kitu. Lakini value ya hicho kitu itategemea na gharama zilizotumika na muda.Thamani ya kitu inatokana na Akili ya binadamu kutumika, kuongezea thamani kilichokuwa Bure.
Dunga unaznguaKATAA NDOA, NDOA NI UHAINI.
Mkuu umeiva kwenye uchumi πππKwa maelezo yako hapo juu, ni ukweli ulio wazi kwamba akili inatumika kuongezea thamani kitu. Lakini value ya hicho kitu itategemea na gharama zilizotumika na muda.
PS: Robert Hariel na Dr. Haya Land ni mtu mmoja lakini majina tofauti.