Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Yani hata asiposema samahani akubali kosa tu inatosha
madharau yasio na kichwa wala miguu tena kuna hiyo defense mechanism mtu anakosa afu anawahi kununa mxyuuuu hapo anajiwekea tahadhari asiulizwe uboya tu, umekosa sema sorry haibadili uanaume!!!
Mnyime ile kitu inayo mfanya awe mpole akiwa juu yako.
kuwa makini na dawa yako, kuna nyingne unaweza mpa na matokeo yake yakawa hasi zaidi ukataman bora usingempa hiyo dawa
ikiiva mpe anywe halafu uone kama humo ndani mtaendelea kuishi wote
Lakini facial expression si inaonyesha kuwa amekubali kosa....mwanaume akiwa anaomba msamaha ovyo ovyo anaboa bhana
Next........................................????
Jeuri, kiburi, dharau, Ego and the likes..I think.
umeona akijishusha sana ataonekana bushoke
madharau yasio na kichwa wala miguu tena kuna hiyo defense mechanism mtu anakosa afu anawahi kununa mxyuuuu hapo anajiwekea tahadhari asiulizwe uboya tu, umekosa sema sorry haibadili uanaume!!!
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Mnyime ile kitu inayo mfanya awe mpole akiwa juu yako.
Haha ni maneno tu haya siwezi fanya hivooo..
Awe mpole niongee lugha zote nimalize!
Inategemea na kosa alilofanya pia,kama ni dogo mie nimeamua tu kulikuza basi awe tu mpole ila kama ni kubwa basi aombe radhi kwa namna yoyote inayofaa.
Samahani kila Mara akosapo zinanikera,zinapoteza maana na zinamshushia hadhi yake kwangu.
Thanks mamy.
Upo?