Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Kumbe hampendi kuambiwa samahani eeeh! Will not apologize kwenu kwa neno "samahani" tena!!!
 
Mnyime ile kitu inayo mfanya awe mpole akiwa juu yako.

Aliomba msamaha, nikampa hiyo kitu then nikafika kwangu nikamwambia sina habari naye tena. Sasa ni wiki ya tatu no salam wala nini. Nimetupa kule. Kwani nini bwana Tanga tunasema " Kama Mbwai ni Mbwai tu" Aendelee kujinunisha kule mie choka sasa.
 
Nadhani Mwanamme kweli ni yule anaeomba Msamaha akikosa,zawadi sio ilonikosea inamaana hata yeye akinikosea nikamnunulie zawadi nimpe ili yaishe,kuna wanaume wengine VISIRANI hata iweje haombi msamaha,ukiuliza eti Mwanamme
au eti anakupa pesa hawajui kua pesa sio kila kitu,matokeo yake wanaishia kuchunywa kama mbuzi,leo Recho,kesho flora...
pole yao ............
 
Kwani kuna tatizo gani mtu akikosea afu akaomba msamaha? Me naweza nikawa nishakusamehe hata kabla hujaniomba msamaha, but kukiri kuwa umekosea na ukaomba msamaha nafikiri ni uungwana zaidi. Tatizo sasa mtu hadi akiri kuwa amekosea ni kimbembe, wengi asipokugeuzia kesi basi atakwambia tu "basi yameisha eeh" mweeee
 

Akisema hivyo ndo kuomba msamaha hukohuko....
 
Akisema hivyo ndo kuomba msamaha hukohuko....

Hahaha we unajua anavyoisema lakini "eeeh na wewe mwanamke una ngebe jamani, yaishe basi eeh". Yani shida yake tu asiseme "samahani". Tushazoea lakini, maake bora hata huyo anayesema yaishe. Mwingine utageuziwa kesi afu mwisho wa siku wewe ndo utatakiwa uombe msamaha khaa
 
mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...

Naungana na wewe dawa yake inachemka.

the same applied to wamie ....ukute ni ndugu hawa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi anipe hela tu kuanzia laki mbili namsamehe.... pesa inategemeana na ukubwa wa kosa
 

garama izi zote unakwepa kusema kitu moja tu? am sory da wanaume bana
 

Ooohh....mi namna hii hapana. Ukikosea ni lazima TUYAZUNGUMZE... Sikubali mtu anizime kienyeji namna hii. Hata kama hutoomba radhi ila habari utaipata tu....
 

wee acha tu hawa viunbe hawaa...!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna wengine hata uwaombe vipi hawakuelewiiiii
 
Akikubali kosa lake na akaomba msamaha inatosha kabisa kwangu mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…