Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Kumbe hampendi kuambiwa samahani eeeh! Will not apologize kwenu kwa neno "samahani" tena!!!
 
Mnyime ile kitu inayo mfanya awe mpole akiwa juu yako.

Aliomba msamaha, nikampa hiyo kitu then nikafika kwangu nikamwambia sina habari naye tena. Sasa ni wiki ya tatu no salam wala nini. Nimetupa kule. Kwani nini bwana Tanga tunasema " Kama Mbwai ni Mbwai tu" Aendelee kujinunisha kule mie choka sasa.
 
Nadhani Mwanamme kweli ni yule anaeomba Msamaha akikosa,zawadi sio ilonikosea inamaana hata yeye akinikosea nikamnunulie zawadi nimpe ili yaishe,kuna wanaume wengine VISIRANI hata iweje haombi msamaha,ukiuliza eti Mwanamme
au eti anakupa pesa hawajui kua pesa sio kila kitu,matokeo yake wanaishia kuchunywa kama mbuzi,leo Recho,kesho flora...
pole yao ............
 
Kwani kuna tatizo gani mtu akikosea afu akaomba msamaha? Me naweza nikawa nishakusamehe hata kabla hujaniomba msamaha, but kukiri kuwa umekosea na ukaomba msamaha nafikiri ni uungwana zaidi. Tatizo sasa mtu hadi akiri kuwa amekosea ni kimbembe, wengi asipokugeuzia kesi basi atakwambia tu "basi yameisha eeh" mweeee
 
Akisema hivyo ndo kuomba msamaha hukohuko....
 
Akisema hivyo ndo kuomba msamaha hukohuko....

Hahaha we unajua anavyoisema lakini "eeeh na wewe mwanamke una ngebe jamani, yaishe basi eeh". Yani shida yake tu asiseme "samahani". Tushazoea lakini, maake bora hata huyo anayesema yaishe. Mwingine utageuziwa kesi afu mwisho wa siku wewe ndo utatakiwa uombe msamaha khaa
 
mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...

Naungana na wewe dawa yake inachemka.

the same applied to wamie ....ukute ni ndugu hawa!!!
 
Last edited by a moderator:
Mimi nikigundua nimekosa
ninachofanya ni kuamka asubuhi sana na kujiandalia vitu vyangu mwenyewe
bila kumuamsha majeruhi wangu naenda zangu job kimyakimya nikiwa
nimeacha hela zaidi kuliko kawaida kwenye dressing
table,siku hiyo ntapiga sana simu kujua mambo yanaendaje hapo home au
kazini kwake kama atakua kazini,ile nikitoka tu kazini moja kwa moja
uchumi supermarket au mlimani city kuna vitu ambavyo ananipmbaga
nimchikulie lakini najifanyaga nipo busy ila kwa siku hiyo namchukulia
in excess,baada ya hapo moja kwa moja home tena nikiwa sober cpitii
maeneo yetu yale!!!kama kuna mechi ya arsenal siku hiyo naangalizia
yumbani sio jackeys tena.....basi hapo utamwona tu anacheka na kusema
"we unajifanya mjanja sana,ukirudia teenaa...."..wanawake
bwana!!!

garama izi zote unakwepa kusema kitu moja tu? am sory da wanaume bana
 
Mimi nikigundua nimekosa ninachofanya ni kuamka asubuhi sana na kujiandalia vitu vyangu mwenyewe bila kumuamsha majeruhi wangu naenda zangu job kimyakimya nikiwa nimeacha hela zaidi kuliko kawaida kwenye dressing
table,siku hiyo ntapiga sana simu kujua mambo yanaendaje hapo home au kazini kwake kama atakua kazini,ile nikitoka tu kazini moja kwa moja uchumi supermarket au mlimani city kuna vitu ambavyo ananipmbaga nimchikulie lakini najifanyaga nipo busy ila kwa siku hiyo namchukulia in excess,baada ya hapo moja kwa moja home tena nikiwa sober cpitii maeneo yetu yale!!!kama kuna mechi ya arsenal siku hiyo naangalizia yumbani sio jackeys tena.....basi hapo utamwona tu anacheka na kusema "we unajifanya mjanja sana,ukirudia teenaa...."..wanawake bwana!!!

Ooohh....mi namna hii hapana. Ukikosea ni lazima TUYAZUNGUMZE... Sikubali mtu anizime kienyeji namna hii. Hata kama hutoomba radhi ila habari utaipata tu....
 
Hahaha we unajua anavyoisema lakini "eeeh na wewe mwanamke una ngebe jamani, yaishe basi eeh". Yani shida yake tu asiseme "samahani". Tushazoea lakini, maake bora hata huyo anayesema yaishe. Mwingine utageuziwa kesi afu mwisho wa siku wewe ndo utatakiwa uombe msamaha khaa

wee acha tu hawa viunbe hawaa...!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna wengine hata uwaombe vipi hawakuelewiiiii
 
Akikubali kosa lake na akaomba msamaha inatosha kabisa kwangu mie
 
Back
Top Bottom