Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Kuna wanaume waungwana, akikosea utamsema weee anakuwa mdogo na kimya kama piriton Mwisho wa siku unasikia "Samahani mpenzi" yaan nakuwa kama boflo mbele ya chai.

Ila kuna vichwa vingine sijui vilizaliwa na nani? Atakosea utamsema wee kisha utasikia "Umemaliza yote au ongeza mpaka yaishe" Uyaongeza ukimaliza anasema "Haya nimekusikia". Lakini hajakiri kosa khaaa!? Nakereka....
 
Yaani unataka akiri namna gani kama kakupa airtime ya kutosha?

Hivi hujui kwamba hiyo time anayokupa mwanamume ni ghali sana??

Mzima wewe?
 
Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?

Shkamoo babu...

Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.

Kwa kukuonesha kuwa amekosa na.haombi msamaha kwako hufanya moja mambo haya:
1: Kukuliwaza zaidi....
2: Kukufanyia suprise...
3: Kuwa nawe muda wingi....
4: Kukipotezea kile mlichokosana...
5: Kukustahi....
Na zaidi ni kukushirikisha katika 6: mashauri yake.......
Sio lazima ayafanye yote ni baadhi tu
 
hakuna kanuni.wanawake hawafanani so baada ya ''kukwepa mishale mingi'' nimejifunza tofauti zao katika kuwa handle pia.

baadhi ya wanawake ni wabishi na wajeuri dunia nzima hakuna!!hata akosee vipi na mazingira yanamsuta haombi msamaha wala nini,zaidi ataji sex-sha tu na kuzuga zuga tu afu basi....huyu wa hivi mimi nikimkosea pia nitazuga zuga tu na baadae yanaisha.wengie ni malezi na mazingira vimewaathiri,last borns kwa mfano,ambao wamedekezezwaaaa hata ukimwambia kosa ukiwa umehamaki bas ye ndo unamuua kabisa....ila ukimkosea wewe atataka utembelee magoti na kumbembeleza kam nini sijui!
kama sisi wanaume tulivyo tofauti,wanawake pia wako tofauti na hivyo namna ya kuwa handle tunapokua tumewakosea hutegemea na mwanaume anamfahamu kwa kiwango gani mwanamke wake!

nb:sipendi sana neno ''samahani'',haswa ninapokua nimekasirika sana baada ya kukosewa.like to talk things over kutoka angle zooote nijue na sababu then upuuzi wa samahani ndo ufuate!i wonder wanaomalizaga makosa kwa ngono bila kuya face yakaongelewa wanawezaje!!

ooh na zawadi na kila kitu hufuata baada ya kumaliza shida kidemokrasia..whether kwa kuomba samahani au kutoa tu maelezo na ufafanuzi.
 
Ooohh....mi namna hii hapana. Ukikosea ni lazima TUYAZUNGUMZE... Sikubali mtu anizime kienyeji namna hii. Hata kama hutoomba radhi ila habari utaipata tu....

hehehe...umenifurahisha sana.ila baadhi yenu mnaongea aisee..utafikiri redio ya masafa mafupi!nikisema ''basi babes,nimeelewa'' we unaendelea tu namtext jamaa anipigie simu afu naanza kuongea ''...niambie Joe,aah nani Rashid?kapata ajali wap tena na saa ngapi?aaanhaa Tumbi hapo kibaha? basi nipo njiani naja sasa hivi,nampitia tu Michael!"...nainuka nakwambia kuna ajali mwanetu mmoja kaumia....utaniona home ''mida ya wachawiiiiiiii''!usiku mkubwa,na omba MUNGU nisiwe na shots kadhaa kichwani!
 
Kwangu nakosewa halafu linageuziwa kwangu na mtu analia kabisa nishamjulia na mwamboea nisamehee maana mizigo yote ya makosa ni yangu.

Wa kwangu anafanya hivi kama ukimshitaki mahali utajuta mbona mzigo wote utaubeba,ilinitokea wakati tuko wachumba.
 
Wa kwangu style yake ya kuomba msamaha ni ya pekee,akijua amekosea siku hiyo atakuwa too comedian,atafanya kila liwezekanalo mpka nicheke,na anavyonijulia hata kifua kiwe kimejaa vipi kitashuka tu,ukicheka au kutabasamu basi kes ndo ishaisha.
 
Lizzy nimejikuta nacheka baada ya kusoma "saini" yako ....

"Tabia haina jinsia" ......

Habari ya siku mingi?
 
Last edited by a moderator:
Wa kwangu style yake ya kuomba msamaha ni ya pekee,akijua amekosea siku hiyo atakuwa too comedian,atafanya kila liwezekanalo mpka nicheke,na anavyonijulia hata kifua kiwe kimejaa vipi kitashuka tu,ukicheka au kutabasamu basi kes ndo ishaisha.

Huyo ndiyo kidume!!
 
Anafanana na uyu wangu.Huwa najizuia nisicheke lakini mwishoni najikuta nshacheka.
 
Yaani kidume niombe msamaha....hiyo inakwenda na kinyume na uanaume.....kwa kweli itakuwa ngumu....ni mwendo wa kimya na yeye akikaa kimya natafuta mwingine....wapo wengi mpaka zingine tunauziwa.....

Naunga mkono ni mwendo wa kimya cz nyingne mbka zinauzwa buku 2 temeke sudan haha haha
 
mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...

Naungana na wewe dawa yake inachemka.

hahahaaaaa.. ikiiva uje utoe mrejesho mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hivi mnajua kwa nini watu wa Malawi walichukia sana pale rais wao wa awamu iliyopita mwanamama Joyce Banda alipomsalimia Malkia wa Uingereza kwa kupiga magoti?

In short, ukiwa kichwa lazima uhakikishe kuwa unatetea heshima na hadhi ya kichwa hicho kwa gharama yoyote!

dack city nimecheka sana na nimejifunza kitu. Ahsante
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom