CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kuna wanaume waungwana, akikosea utamsema weee anakuwa mdogo na kimya kama piriton Mwisho wa siku unasikia "Samahani mpenzi" yaan nakuwa kama boflo mbele ya chai.
Ila kuna vichwa vingine sijui vilizaliwa na nani? Atakosea utamsema wee kisha utasikia "Umemaliza yote au ongeza mpaka yaishe" Uyaongeza ukimaliza anasema "Haya nimekusikia". Lakini hajakiri kosa khaaa!? Nakereka....