CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Kuna wanaume waungwana, akikosea utamsema weee anakuwa mdogo na kimya kama piriton Mwisho wa siku unasikia "Samahani mpenzi" yaan nakuwa kama boflo mbele ya chai.
Ila kuna vichwa vingine sijui vilizaliwa na nani? Atakosea utamsema wee kisha utasikia "Umemaliza yote au ongeza mpaka yaishe" Uyaongeza ukimaliza anasema "Haya nimekusikia". Lakini hajakiri kosa khaaa!? Nakereka....
Hamna anachofanya kuashiria he is sorry?
Shkamoo babu...
Basi babu tudokeze ni vitu gani 'MWANAUME' anaweza kufanya kuonyesha kwamba amekubali kakosea and he is sorry bila kusema chochote.
Yaani unataka akiri namna gani kama kakupa airtime ya kutosha?
Hivi hujui kwamba hiyo time anayokupa mwanamume ni ghali sana??
Mzima wewe?
Ooohh....mi namna hii hapana. Ukikosea ni lazima TUYAZUNGUMZE... Sikubali mtu anizime kienyeji namna hii. Hata kama hutoomba radhi ila habari utaipata tu....
sasa je, si ndo maana pesa zetu hazina picha ya kiongozi wa kike....:A S wink:na nikikosa fedha je inabadili?
Kwangu nakosewa halafu linageuziwa kwangu na mtu analia kabisa nishamjulia na mwamboea nisamehee maana mizigo yote ya makosa ni yangu.
Mie mzima babu yangu... Miss you mno, bibi hajambo?
Wa kwangu style yake ya kuomba msamaha ni ya pekee,akijua amekosea siku hiyo atakuwa too comedian,atafanya kila liwezekanalo mpka nicheke,na anavyonijulia hata kifua kiwe kimejaa vipi kitashuka tu,ukicheka au kutabasamu basi kes ndo ishaisha.
Sisi pia tunakumiss sana...
Bibi yupo analea mbabu wake..lol!!
Wa kwangu style yake ya kuomba msamaha ni ya pekee,akijua amekosea siku hiyo atakuwa too comedian,atafanya kila liwezekanalo mpka nicheke,na anavyonijulia hata kifua kiwe kimejaa vipi kitashuka tu,ukicheka au kutabasamu basi kes ndo ishaisha.
Yaani kidume niombe msamaha....hiyo inakwenda na kinyume na uanaume.....kwa kweli itakuwa ngumu....ni mwendo wa kimya na yeye akikaa kimya natafuta mwingine....wapo wengi mpaka zingine tunauziwa.....
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
mahondaw mi gf wangu nimemuweka pending mbishi, hashauriki, hapendi kujishusha..yaani kosa anafanya yeye kwa ubishi wake mi ndo nashuka na kupotezea mambo...
Naungana na wewe dawa yake inachemka.
mi wangu ana jeurii moja matata......hata akosee haombi ng'o...dawa yake ipo jikoni
Hivi mnajua kwa nini watu wa Malawi walichukia sana pale rais wao wa awamu iliyopita mwanamama Joyce Banda alipomsalimia Malkia wa Uingereza kwa kupiga magoti?
In short, ukiwa kichwa lazima uhakikishe kuwa unatetea heshima na hadhi ya kichwa hicho kwa gharama yoyote!