Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano


Mimi wa kwangu alishasema amenichoka na samahani zangu za kila siku.........kwa hiyo nikikosea napiga kimya baada ya siku chache tunarudi kwenye mstari..hii ni kwa mke na mchepuko pia wote wameshanichoka na samahani zangu
 

hata iweje jua kwamba kuombwa msamaha kwa namna yoyote kila mara inaboa na inaharibu mahusiano. msamaha wa kuombwa kila mara hauna maana yoyote. lengo la msamaha ni mtu ajirekebishe na muishi kwa furaha. mahusiano ya kuombana ombana msamaha huwa hayana furaha na hayadumu.
 
Hahaa
shemeji yangu mimi alo muoa dada yangu huwa mkewe akimwambia naumwa kwanza anamuangalia, afu anakaa kimya baadae mkewe akimwambia tena baba fulani me naumwa, utasikia si uende hospital kwani me dokta!
 
Indeed
 
Hapo hakuna mwenye makosa ila shida ni kupenda usipopendwa. Mtu akisema hatakuwa na vocha mpaka mwakani anamaanisha sikutaki usinipigie tena simu.
 
Naamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!
Sema samahani za kibongo ni za mashaka sana ! inategemea uko wapi , mbagala , buguruni , kigogo , tandika , mikocheni au masaki
 
Nawashauri kina mama/dada mthamini zaidi samahani ya vitendo (kupelekwa out, kununuliwa vitu n.k.) kwa sababu mwanaume hawezi kukubali gharama kama hataki kuomba samahani ya dhati. Naweza nikakwambia samahani ikaishia hapo, ukafurahi nimeomba samahani. Kumbe moyoni najua nimekudanganya tu.
 
Mimi wa kwangu alishasema amenichoka na samahani zangu za kila siku.........kwa hiyo nikikosea napiga kimya baada ya siku chache tunarudi kwenye mstari..hii ni kwa mke na mchepuko pia wote wameshanichoka na samahani zangu
🤣🤣🤣🤣🤣😃 basi we utakuwa umechosha kweli kweli.
 
Ni wangapi umewakosea hawasemi samahani? Umetoa general conclusion kwa wanaume ni ngumu siyo kweli labda huyo wako tu. Nitasema samahani pale napoona inahitajika!
Pale inapohitajika, Kwa hiyo kama binti hujapewa samahani na kidume chako ujue muda haujafika. Mwanamke ukiwa soft and tender, utazipata nyingi tu. Ukileta ushindani samahani utazisikia JF tu, nani anatoa samahani Kwa mwanamke anayebishana nae kwenye kila kitu, mpaka mbele za watu, mwanamke haujawahi kujishusha hata Mara moja?
 
[emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…