Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
 
Mabenki kwasasa yameweka limit transfer za USD, wengine $5k , $10k per day! USD itapaa zaidi soon!
 
Mama anajitahidi sana kwenye ku-maintain thamani ya shilingi. Amejitahidi mno yaani zaidi ya mno kuhakikisha shilingi haishuki thamani tangu kapokea kijiti March 2021. Awamu ya tano ndo ilikuwa hovyo mno kwenye kuhakikisha shilingi haishuki thamani. JPM aliiharibu kabisa shilingi. Tujikumbushe hapa historia ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani tangu 1961.

December 1961: 1$ = TZS 7 (Hapa tulikuwa tunapata uhuru)
December 1985: 1$ = TZS 16 (Hapa ndo Mzee Mwinyi kachukua urais)
December 1995: 1$ = TZS 569 (Mwinyi kwenda kwa Mkapa)
December 2005: 1$ = TZS 876 (Mkapa kwenda kwa Jakaya)
December 2015: 1$ = TZS 1169 (JK kwenda kwa JPM)
March 2021: 1$ = TZS 2330 (JPM kwenda kwa Mama)
Leo April 2023: 1$ = TZS 2350
Huu ni uongo wa Hali juu December 2015 dollar ilikua 1169? [emoji3061]
 
Shida ni ileile siasa za walamba asali.

Taifa litapona siku watanzania wenyewe watakapoamka kutoka kwenye usingizi wa pono na kudai nchi yao iliyotekwa na familia fulani fulani.
 
Kuna kisiwa kinadaiwa trilioni 91 huko, ukiuliza nini, unaambiwa, walikopa MCHELE.

Kweli? Unakopa mchele? 945,000km square of mass land!

Wengine wakaenda kununua mchele nje, kweli?

Wageni wananunua mazai shambani!

Pesa za mikopo zinanunua mabasi na malori, V8 za kuwahonga kina barabara.

Shilingi ikae wapi sasa? Haina pa kujishika, itaporomoka mpaka maka!
Unamlisha jirani ambaye yeye aneacha kulima maana Kilimo hakiwalipi wakulima wake. Hivyo wakulima wakaamua kuwa wafanyabiashara wa nafaka na madalali wakichukua mazao kwako na kuongeza thamani na kuuza ndani na nje ya soko Lao. Halafu wewe eti unavuka mabara kwenda kununua nafaka nje. Hapa sielewi kama tuna watu huko wizarani Wana akili ya mahesabu au wenye akili waliajiriwa sekta binafsi? Inauma Sana Mkuu.
 
Kwani maduka ya kubadilisha fedha za kigeni yameruhusiwa tena?
Ndiyo ila baadhi mitaji yao ilifilisiwa na yule mfilisi aliyetutoka na inatafutwa ilipowekwa na yule mfilisi bado haionekani. 🤣🤣🤣. Kua uyaone
 
Mabenki kwasasa yameweka limit transfer za USD, wengine $5k , $10k per day! USD itapaa zaidi soon!
Kuna ukata mkubwa Sana wa dola na dd ni kubwa i.e supply<demand ikiashiria excess demand maana biashara zinafunguka hivyo lazima bei ya dola ipande Sana. Impact ya suppression ya Uchumi 2015-2020 itatula maeneo mengi mno ikiwemo foreign exchange.
 
siyo kweli kitu gani, fuatilia taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika. Leo hii tar 24.04.2023 dola ya Marekani ilinunuliwa kwa sh. 2301 na kuuzwa kwa sh 2324. Taarifa ya BOT. nenda hata kwenye tovuti yao siyo mnajidanganya vijiweni. Huyo mpotoshaji ana malengo yake maovu.
Hiyo rate kanunue kwenye tovuti,huku mtaani Dola 1 inanunuliwa kwa 2425 kama hautaki hauipati na utafeli.
 
Jamaa alipandisha sana dora, na sio alipandisha tu ilikua haipatikani kabisaaaa

Wewe sukari kaikuta 1200, usiku mmoja tu ikawa haipatikani i chi nzima na siku ya pili bei ni 3500 tena ndani ya mwezi wa ramadhani? Jamaa alikuwa hafai kuongoza hata wanyama
Sukari kilo @3,500
Mchele kilo @3,800
Unga kilo @2,000
Nyama kilo@10,000
Mafuta Lita 1@3,000
Maharage kilo 3,800

Nani kama Mama!?
 
Back
Top Bottom