mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Mpumbavu mwingine na data za kupika, eti mwaka 2015 $ ilikuwa 1169Tsh, wewe pia ni reflection ya uongozi uliopo, madebe matupu, kichwani zero.Mama anajitahidi sana kwenye ku-maintain thamani ya shilingi. Amejitahidi mno yaani zaidi ya mno kuhakikisha shilingi haishuki thamani tangu kapokea kijiti March 2021. Awamu ya tano ndo ilikuwa hovyo mno kwenye kuhakikisha shilingi haishuki thamani. JPM aliiharibu kabisa shilingi. Tujikumbushe hapa historia ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani tangu 1961.
December 1961: 1$ = TZS 7 (Hapa tulikuwa tunapata uhuru)
December 1985: 1$ = TZS 16 (Hapa ndo Mzee Mwinyi kachukua urais)
December 1995: 1$ = TZS 569 (Mwinyi kwenda kwa Mkapa)
December 2005: 1$ = TZS 876 (Mkapa kwenda kwa Jakaya)
December 2015: 1$ = TZS 1169 (JK kwenda kwa JPM)
March 2021: 1$ = TZS 2330 (JPM kwenda kwa Mama)
Leo April 2023: 1$ = TZS 2350