Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Thamani ya pesa yetu inazidi kuporomoka. Shida ni nini?

Ukipita jf unaweza ona nchi imepoteeea kumbe kawaida tu😀 watu wako serious sana na life
 
Tanzania kuna shida sana,
1.No production,Ukiangalia vyanzo vya mapato ya Serikali income tax ndio chanzo kikubwa na cha kuaminika ikifuatiwa na kodi itokanayo na import.mapato yanayotokana na bidhaa tunazozalisha ni kidogo sana.
2.Negative BoP:tunaagiza sana kuliko Ku export.
3.Mikopo
 
Acha kusema uongo.magufuli alikuta 2250 hadi anaondoka ilipanda kidogo tu.lakini wa sasa tunakoelekea atamaliza mda wake ikiwa zaidi ya 3000
Hata kama alikuta ni 1500 yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli aliua uchumi wa Nchi hili lipo wazi sana ikijumuisha na projects zake kubwa zinazopeleka nje hela ndio kabisa.
 

Attachments

  • inbound5022058065255187838.jpg
    inbound5022058065255187838.jpg
    32.3 KB · Views: 2
  • inbound1682339479398494778.jpg
    inbound1682339479398494778.jpg
    205.3 KB · Views: 2
Leo dola moja ni Tsh 2350 mtandaoni. Gharama za vitu tunavyoagiza itazidi kupanda. Shida nini pesa yetu kuporomoka namna hii? Hivi kuna namna tunaweza kuachana na kuagiza vitu kwa dola?
Hayo makaratasi yako yana dhamana gani mpaka yatumike kuagizia bidhaa?
 
Jamaa alipandisha sana dora, na sio alipandisha tu ilikua haipatikani kabisaaaa

Wewe sukari kaikuta 1200, usiku mmoja tu ikawa haipatikani i chi nzima na siku ya pili bei ni 3500 tena ndani ya mwezi wa ramadhani? Jamaa alikuwa hafai kuongoza hata wanyama
 
Ona hili?Yaani wewe kuajiliwa hapo Manispaa unaona umemaliza maisha.
Yes, nimemaliza hela huoni haina dhamani utaenda wapi nayo nje hatuko kwenye mabangoo yakubadilishia pesa uone haina dhamani Bora dola iwe juu
 
Hatuna kiongozi mwenye maono wewe unategemea nini??
 
Tanzania kuna shida sana,
1.No production,Ukiangalia vyanzo vya mapato ya Serikali income tax ndio chanzo kikubwa na cha kuaminika ikifuatiwa na kodi itokanayo na import.mapato yanayotokana na bidhaa tunazozalisha ni kidogo sana.
2.Negative BoP:tunaagiza sana kuliko Ku export.
3.Mikopo
Sasa utauza nini kama haulimi au hauna viwanda vikubwa?

Tumewaita Wachina waje fungua maduka badala ya kujenga viwanda

Na mwakani wanafungua maduka 2060 pale Ubungo, wamenunua maeneo Kurasini maana yake watakuwa wanamwaga makontena tu
 
Wewe unataka hela yetu iwe juu ili ufanyie nini
😂Sister acha basi kwani hujui thamani ya pesa kupanda inaimarisha uchumi? Ikipanda thamani means tutaagiza bidhaa kwa gharama ndogo kuliko Sasa mf kama 1usd =800tzs angalau unaweza kutoa Hela ndogo ya kitanzania kununua bidhaa nje kuliko ilivyo sasa
 
Back
Top Bottom