HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ujenzi wa Daraja la Busisi haukupaswa kuwepo.Hata kama alikuta ni 1500 yeye ndio chanzo cha haya yote.Magufuli aliua uchumi wa Nchi hili lipo wazi sana ikijumuisha na projects zake kubwa zinazopeleka nje hela ndio kabisa.
Reli kwenda Mwanza, Kigoma haikupaswa kuwepo, wangewekeza kwenye reli ya kwenda Tunduma maana mizigo mingi ya kwenda nje hupitia hapo
Kuhamia Dodoma zaidi ya Tril 4 zimetumika au zitatumika hadi wakamilishe
Kununua mandege