Thamani ya Rolls-Royce imeshuka baada ya ajali ya Ginimbi, Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan

Thamani ya Rolls-Royce imeshuka baada ya ajali ya Ginimbi, Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Inakuwaje WanaJF?!

ginimbi_10_10_2017_11_8_4_346.jpg


Watu wengi wamejiuliza maswali mengi na kushangaa inakuwaje Rolls-Royce Wraith Muingereza lenye thamani ya dollars za kimarekani laki tano (madafu 1.2 billion).
zimbabwean-socialite-e2808cgenuis-ginimbi-kadungure-dies-in-fatal-rolls-royce-crash-photos-video.jpg

lenye safety features kibao na mbwembwe za kila aina ligongane uso kwa uso na gari ndogo la mjapan Honda Fit bei yake dola 4000 tu na kutupwa pembeni mwa barabara na engine kuruka nje.
Genius-Kadungure.jpg


Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan zile dharau naona sasa hivi zimeshuka
Ginimbi-Accident-Scene-007-1024x576.jpg
 
.................................Siyo mtaalam wa pic ila kwa kuangalia hiyo ajali inaonekana walikuwa site moja ila kutokana na gari kumshinda aliipalasa hii Honda ubavuni kuanzia inapoanza mudguard ya kulia hadi kwenye bumper la mbele that's why unaona kama kifua chake kimesogea mbele kisha akazidi kupotea na kwenda kugonga mti.

Nadhani maswali yanayopaswa kuulizwa ni kuwaje gari ya million of $'s isiwekwe materials zitakazoweza kuzuia moto kiwepesi kama ilivyotokea?I meant,inajulikana wazi gari imewekwa mfumo wenye speed kubwa na kwenye speed kubwa chochote kinaweza kutokea so kwa thamani hiyo tungetegemea matokeo tofauti na ambayo tungeyaona kwenye Toyota Premio 1998 model.

Ila jamaa alikuwa kibati,maana mpaka engine iling'oka.
 
Huwa najiuliza gari za gharama sana huwa na kitu gani cha tofauti mpaka kufikia bei hiyo
 
Back
Top Bottom