bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,912
- 10,754
Bora guta tu!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Bora guta tu!
Kwani hizi gari za Rozi Roisi zinajibadilisha rangi? Au alikuwa nazo za kila rangi?Ginimbi nouma Aisee hadi ndani ya fence yake kaweka lami. Apokelewe tu kishujaa mbinguni View attachment 1626395
alikua nazo zaidi ya mbiliKwani hizi gari za Rozi Roisi zinajibadilisha rangi? Au alikuwa nazo za kila rangi?
Kumbuka pia Kuna Lambogini yake nyingine ya mwaka 2020 bado inakunywa maji wakati huu amefariki. Kama ameshailipia kila kitu ndugu wataipokeaalikua nazo zaidi ya mbili
Ndo mana iliitwa honda fit... ipo fit
Nisamehe mkuu, mfupa hauna ulimi!
Zipo ila nyingi ni zile za kubebea maitiHee[emoji1787] hivi haha bongo hizi Rozi Rois zipo kweli maana Sina bahati kuiona hata 1
Gari ikiwa kwenye speed ya 260kmh na binadamu kwenye gati anakuwa at the same speed, so kiti kikiwa ejected unafikili kitatokea nini katika hiyo speed?Ndio mkuu viti viwe ejected
Ginimbi nouma Aisee hadi ndani ya fence yake kaweka lami. Apokelewe tu kishujaa mbinguni View attachment 1626395
Mmh[emoji849] si hizo bwana..Zipo ila nyingi ni zile za kubebea maiti
Kiduku LiloInakuwaje WanaJF?!
View attachment 1626389
Watu wengi wamejiuliza maswali mengi na kushangaa inakuwaje Rolls-Royce Wraith Muingereza lenye thamani ya dollars za kimarekani laki tano (madafu 1.2 billion).
View attachment 1626390
lenye safety features kibao na mbwembwe za kila aina ligongane uso kwa uso na gari ndogo la mjapan Honda Fit bei yake dola 4000 tu na kutupwa pembeni mwa barabara na engine kuruka nje.View attachment 1626392
Sifa nyingi zimeenda kwa Mjapan zile dharau naona sasa hivi zimeshukaView attachment 1626393
Alikuwa nazo tano rozi rozi tu iliyemuuwa ilikuwa ya rangi nyeupeKwani hizi gari za Rozi Roisi zinajibadilisha rangi? Au alikuwa nazo za kila rangi?
Nimesoma taarifa alikua anakwenda 260km/h mpaka 300km/h bara bara ya Durban au Jhb ni pana sana hata hivyo hapo hiyo Honda ilipalazwa tuu sio uso kwa uso mzee na dereva wa fit analaumiwa kwa kutohama site yake ili kumpisha huyo aliekua speed kubwa upande tofauti alipunguza mwendo tuu huyo jamaa hata ndugu zake hawashangai maana wanadai mwendo kasi ndio kitu alichokua anakiamini mno SA zipo ajali mbaya sana kila kukicha kwa sababu ya ulevi na bara bara zao pana wanajiamini mno...
Nae ni mshenzi kweli hivi kweli mtu timamu unaendeshaje gari baada ya kunywa pombe ! Halafu anaenda speed ya 260 Afrika hahahahha most of developed world cap ni speed ya 120
...Range Rover, Mkuu?Wamiliki wa magari ya Uingereza mnajifariji sana. Mjapan nouma yani sheeda
Na jana tu gari yake ilitaka kuwaka moto yenyewe hali iliopelekea taharuki kubwa katikati ya mji wa harare wakati wakipita kuaga
Ginimbi nouma Aisee hadi ndani ya fence yake kaweka lami. Apokelewe tu kishujaa mbinguni View attachment 1626395